INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
...
Thursday, 26 June 2014
DAKTARI AKUTWA AKITAKA KUMTOA MIMBA MWANAFUNZI-DAR ES SALAAM

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Stori: Waandishi wetu
KABAANG! Dokta mmoja aliyefahamika kwa jina la
Herman amenaswa katika dispensari moja iliyopo Buguruni Kwamnyamani
jijini Dar akijiandaa kumtoa mimba mwanafunzi...
WATOTO WAWILI WALIPULIWA BAGAMOYO-WAZIKWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WATOTO wawili wa familia moja, Nuru (3) na Dora
Kaitaba (2), wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kubaki majivu baada
ya moto mkubwa uliotokana na petroli kulipuka nyumbani kwao, Mapinga,
Bagamoyo mkoani Pwan...
JACK PATRICK AFYA YAKE SI NZURI GEREZANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi
kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki
iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake
bila kufafanuliw...
BABY MADAHA:VIFO VYANIPA SOMO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kufuatia vifo vya wasanii vilivyotokea mfululizo, mwigizaji Baby
Joseph Madaha amelazimika kubadili mtindo wake wa maisha na kuishi
kitakatif...
Wednesday, 25 June 2014
RATIBA YA MTIHANI CSEE 2014,MITIHANI KUANZA 03/11/2014

(06th – 23rd October, 2014 – 051/2 FOOD AND NUTRITION PRACTICAL) Monday 03/11/2014 011 Civics (SC & PC) 8:00 – 10:30 022 English Language (SC & PC) 2:00 – 5:00 Tuesday 04/11/2014 041...
NIGERIA YATINGA 16 BORA KUTOKA AFRIKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Argentina...
MTOTO AKOTWA KAMBI YA JESHI-MOROGORO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ASKARI
wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kambi ya Pangawe mkoani Morogoro
wamemuokota mtoto mwenye umri wa miaka sita, Mwajuma Athuman aliyedai
kukimbia mateso kutoka kwa mama yake mkubwa Juni 17, mwaka hu...
WEMA SEPETU AZIMIA GHAFLA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
CHUKI
tu! Katika jambo ambalo limeuumiza moyo wa Miss Tanzania 2006/07, Wema
Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ tangu awe staa, ni ishu iliyotokea
wikiendi iliyopita baada ya mtu asiyejulikana kutengeneza picha chafu ya
mama mzazi wa mrembo...
SUAREZ ANG'ATA MTU MENO-KOMBE LA DUNIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jana
tumeona mcheza wa soka umevamiwa na wasiopaswa kuwa uwanjani. Nimetania
kwenye KwanzaJamii sports extra leo asubuhi kuwa Suarez unapoanza mpira
alipaswa akamatwe na apelekwe kufungiwa kwenye matyndu ya wanyama wakali
wafugwa...
ANAOMBA MSAADA-TUMWONEE HURUMA,ANA MIAKA 25
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MSICHANA
Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani
Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kiafya baada ya kuvimba mguu na kuwa kwenye maumivu makali.Ugonjwa huo uvimbe huo ulianza kama&nbs...