
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha (KEC), Bw. Anathe Nnko akifungua rasmi mafunzo ya kozi za muda mfupi kwa wanafunzi wa Chuo cha Biashara Kibaha. Mafunzo hayo yanatolewa katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha (Kibaha– FDC). Kutoka kulia ni mmiliki wa Chuo cha Biashara Kibaha,...