Mtu mmoja aliyekuwa akiendesha pikipiki amefariki dunia katika ajali kati ya pikipiki hiyo na Gari ya Mwendokasi baada ya kugonga basi hilo kwenye eneo la Lumumba, mataa ya Kituo cha Mwendokasi cha Fire na DIT Jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limethibitisha...
Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt.Albina Chuwa akizungumza katika mkutano maalum uliohusisha pia Wakuu wa Mikoa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Agosti 31, 2023 Jijini Dar es Salaam.
****************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
UMRI wa Mtanzania kuishi umeendelea kuongezeka...
Hapa tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya michezo pendwa inayopatikana Meridianbet.
Extra Bingo ni mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na gwiji wa michezo ya...
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo),Dkt Daniel Mushi akiongea na uongozi na wafanyakazi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata nyama cha Eliya Food Overseas Ltd kilichopo wilayani Longido mkoani mkoani Arusha alivyofanya ziara ya kikazi jana akiwa ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama...
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, ameshiriki mahafali ya darasa la saba ya Shule ya Msingi Mahambe na kukabidhi madawati 44 yenye thamani ya Shilingi Milioni 2.8 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa samani shuleni hapo.
Mbali na madawati hayo pia amechangia Shilingi 500,000 ya kununua...