
Mkurugenzi Kanda wa IFC Jumoke Jagun-Dokunmu,
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu Dkt.Doroth Gwajima.
Na Dotto Kwilasa,Dodoma.
Katika kuwezesha wanawake kiuchumi, Serikali kwa kushirikiana na Taasisi ya Benki ya Dunia (IFC) imezindua programu mpya ya Jinsia...