Wednesday, 17 May 2023
WAZIRI DKT MABULA ATAKA MADALALI WENYE WELEDI NA STAHA
KATAMBI AELEZEA NAMNA SERIKALI INAVYOWAWEZESHA VIJANA WA SKAUTI
Tanzia : ASKOFU DKT. JOHN KANONI NKOLA AFARIKI DUNIA
MAADUI WAPAGAWA KWA ULINZI NILIONAO NYUMBA YENYE MAUZA UZA
Ninazijua shida nilizopitia kwenye yumba za kupanga, raha yake ni kuwa unatembea na nyumba yako mfukoni yaani unahama wakati wowote ule unapoitwa wewe mpangaji, ila mambo mengi sana kwenye nyumba zetu za kupanga zinatusumbua sana.Kabla sijahamia Mwasanga Majengo Mapya mwanzoni nilikuwa ninaisha Ilemi ambapo sijawahi kuwa na afadhali hata usiku mmoja, ni tukio baada ya tukio ninashukuru pale palikuwa na mlinzi wa kuangalia mali lakini wenye mji wenyeji wangu vikongwe hawakuisha kunisumbua kila nilipopanda kitandani kusinzia.
Mara tatu mfululizo nimekuwa ninalala kitandani chumbani na nguo lakini asubuhi ninaamkia sebuleni tena nikiwa uchi wa mnyama.Hili nikafikiria pengine huwa nalala huku natembea nikaamua kuwa nafunga mlango wa chumbani na kufuri halafu kutengesha vyombo kusudi nikifungua nisikie niamke lakini halikuisha likaendelea.
Awamu mbili tofauti nimekuwa ninaamka nimekatwa nywele zangu kichwani na kiasi kwenye sehemu za siri hili ndilo likanifumbua macho nimtafute shemasi wa kanisa na kumpa mualiko aje kunifanyia ibada nyumba shida zinazonikabili usiku zikome kabisa.
Mtumishi akaja akaniombea na maji ya baraka tukamwaga kila kona ya nyumba ninayoishi nikaamini hii itakuwa kiboko yao lakini wapi usiku wake nilipolala kuamka hali ikawa ndio nimewachokoza wenyeji wangu wa mtaa niliamka nikiwa nimechanjwa chale mwili mzima kuanzia nyuma ya shingo mpaka kwenye magoti ya miguuni.
Sasa nikaamua niwaambie wazazi wangu na ndugu zangu juu ya hali ninayoipitia wao kwa ufahamu wakaniambia nimtafute ostadh yoyote mwenye jina asome kisomo wakifikiri ni jini ndilo lilikuwa linanifanyia tabia za mtindo huo.
Nikafanya hivyo akaja msomaji wa kisomo akasoma kisomo kisha tukapeana pongezi na pole za shughuli usiku wake walikuja tena asubuhi nikaamka nikiwa ninaa alama za viganja kwenye shingo kana kwamba kuna mtu alikuwa ananikaba .
Uvumilivu ukanishinda nikaamua nitafute nyumba nihame pale palikuwa pana matukio yasiyoisha, nilipomwambia rafiki yangu dalali Charles akaniambia kuwa hali kama hizo huwa zipo kwenye kila nyumba hakuna nyumba nitakayohamia iwe salama bila shida yoyote ile.
Msimamo wangu wa kuhama ukawa juu nikasema lazima nihame lakini kwa bahati mbaya kipindi hicho nyumba za kupanga hazikuwa rahisi kupatikana na zilizopatikana zilikuwa gharama ya kodi iko juu kidogo.Dalali akaniambia nivumilie miezi iliyobaki akiwa ananitafutia nyumba lakini pia akanishauri kama sitojali nimtafute daktari BAKONWGWA kwenye namba zake za whatsapp +243990627777.
Kwa shida ambazo nilikuwa nimekwisha kuzipitia haraka haraka nikamtafuta na yeye daktari akaaamua kakufanya kulingana na hali yangu alinipa dawa ya kujitengeneza na kuondoa mizindiko yaliyowekwa na wakaaji wengine kabla yangu kwenye hiyo nyumba ambayo ilinipasa nitumie kwa siku mmoja tu.Usiku wake baada ya dawa nililala usingizi wa mmoja kwa mmoja bila shida zozote zile.
Sikutarajia kama itakuwa rahisi sana lakini kwa tiba zake daktari iliwezekana kila mara nikikumbuka hayo mpaka ulipofika wakati wa mimi kuhama niliwaacha majirani wakishangaa ni ulinzi gani nimeutumia kwenye maboma yao nakushukuru sana daktari bakongwa wa https://bakongwadoctors.com .
Tuesday, 16 May 2023
WANAWAKE WANAOTOKA FAMILIA ZA KICHUNGAJI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KIUCHUMI
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joab Ndugai.
Na Dotto Kwilasa, DODOMA.
Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Kanisa la Anglikana Tanzania (UMAKI) Margareth Ndonde amewataka wanawake wa familia za kichungaji kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kujihusisha ili kuepuka kuwa tegemezi na kuwatwisha mzigo waamini.
Amesema hayo kwenye Uzindizi wa mradi wa maendeleo ya Kanisa na Jamii uliyofanyika Chuo cha Theolojia cha Mt Philip's Kongwa mkoani Dodoma unaotekelezwa katika vijiji kumi kwa ukanda wa Hogoro na Zoissa.
Katibu huyo amesema ikiwa Wanawake hao watakubali kujibidiisha wataongeza ustawi kwenye familia zao na kuwa bora zenye kujitegemea na kuwa mfano kwa wengine.
"Kwenye familia zetu imezoeleka tunapenda kuwa tegemezi,ni wakati wetu Sasa kuukataa umaskini Kwa kufanya kazi kwa bidii pamoja na kujenga mahusiano mema na majirani ili kuimarisha amani na upendo katika jamii,"amesisitiza.
Naye Spika wa bunge aliyemaliza muda wake Job Ndugai ametumia nafasi kuitaka jamii kuwekeza kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo na kueleza kuwa huko nyuma ilikuwa ni changamoto kupata huduma kwa wakati tofauti na hivi sasa ambapo wamesogezewa kwa ukaribu.
Ndugai ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kongwa amesema Serikali imewekeza miundombinu ya maendeleo vijiji vingi vya wilaya hiyo ya Kongwa vina umeme,shule,vituo vya afya na barabara zenye kupitika kirahisi kwa kipindi chote na kuimarisha mawasiliano ya simu na hivyo kirahisisha maendeleo.
"Hili la mawasiliano ya mitandao vijiji vingi vilikuwa hakuna mawasiliano,lakini kwa hivi sasa serikali imeadhimia kujenga minara 10 yenye uwezo mkubwa na wananchi wanaenda kuondokana na kero ya kukosa mawasiliano"amesema.
Naye Kanoni Ndatila amesema,"Tunamshukuru mbunge kupitia serikali yetu ndani ya kipindi chake tumeona jitihada ambazo zimefanyika ikiwemo miundombinu ya elimu afya umeme kilimo ma barabara ambazo hivi sasa zinapitika kwa muda wote"amesema.
MAFUTA HAYA YAMENIPA UTAJIRI KATIKA BIASHARA YANGU
Kuna wakati biashara huwa ngumu sana, wakati mwingine waweza unakosa wateja kwenye biashara yako, unatakiwa kujua kuwa maadui huwa wamewekeza ili kuona biashara yako haiendelei wakati wote.Nilikuwa mfanyabiashara katika eneo la River Road, Nairobi ambapo nilifanya biashara ya kuuza vitabu, nilimiliki duka kubwa la vitabu, kando yangu kulikuwa na wafanyabiashara wengine waliofanya biashara mbalimbali zikiwemo za magendo.
Wakati ule biashara yangu haikuwa inafanya vizuri kabisa kwani hata wakati mwingine nilienda nyumbani bila hata ya kupata chochote kile.
Biashara zingine zilizokuwa kando yangu zilikuwa zimenawiri sana kwani walipata mapato mengi na watu walifurika katika biashara zao, nilijaribu kuweka mabango ya kuwavutia wateja lakini jitihada zote hazikufua dafu.
Nilijitia moyo na kujiambia moyoni kwamba hii ni changamoto tu, hivyo biashara ile itakuja kuwa kubwa siku za mbeleni, lakini siku zilivyokuwa zinazidi kwenda mambo yalizidi kuwa magumu kwangu.
Niliwatembelea baadhi ya wataalam wa mitishamba na kunifanyia tiba zao za asili na kuniahidi mambo yatakuwa sawa, lakini yote sikuweza kufanikiwa kabisa, mambo yaliendelea kubaki vilevile.
Katika zile harakati za kutafuta suluhisho, nilikutana na Oliphia ambaye alikuwa ni rafiki wangu wa dhati na ambaye pia alikuwa ni mfanyabiashara mashuhuri. Alikuwa na biashara ya Hoteli, alinieleza siri ya mafanikio yake katika biashara.
Aliniambia kuwa African Doctors walimpa dawa ambayo iliweza kukinga biashara yake na husda za maadui zake, alisema bila kufanya hivyo ni vigumu sana kuja kupata mafanikio ya kibiashara.
Siku iliyofuatia nilifunga safari hadi kwenye Ofisi za African Doctors ili kupata usaidizi, alinihoji na hapo akaniambia kuwa mahasidi wangu kwenye biashara walikuwa wamepanda vitu ambavyo vilizuia kuimarika kwa biashara yangu.
Alinipa mafuta ambayo nilipaka kwenye mlango wa biashara yangu ili kuondoa nguvu za vitu vile, nilirejea jijini na kufanya jinsi nilivyoshauriwa.
Siku tatu baadaye nilianza kupata matokeo, duka langu la uuzaji wa vitabu lilipata wateja wengi zaidi kuwahi kutokea, magari yalifurika kwa wingi kwa ajili ya ununuzi wa vitabu kwenye duka langu.
Kwa kweli yale mafuta ambayo African Doctors alinipa yalikuwa yenye mwamko mpya katika maisha yangu, badaye nilifungua maduka zaidi ya uuzaji wa vitabu na biashara kuchanganya sana.
African Doctors ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile kifaduro, kifua kikuu, kaswendee n.k, anasuluhisha migogoro ya mashamba na kukuwezesha kushinda kesi kotini kwa muda unaotaka.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.
HUAWEI AIMS TO USE ITS “4T” TECHNOLOGIES TO ENABLE AN ENERGY LANDSCAPE TRANSITION OF 'FROMENERGY CONSUMER TO SUSTAINABLE ENERGY PRODUCER AND ENABLER'
MHE.KATAMBI: THAMANI YA UWEKEZAJI WA MIFUKO YA HIFADHI JAMII IMEFIKIA TRIL.14/-
MWENYEKITI UVCCM TANGA ATEMBELEA MRADI WA BBT KATIKA CHUO CHA MLINGANO MATI MUHEZA ATOA NENO

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga(UVCCM) Ramadhan Omary kulia akiwa na jembe akishiriki kulima na vijana kwa niaba ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mohammed Kawaida wakati alipotembelea Chuo cha Kilimo (Mati Mlingano )ambacho ni Miongoni mwa Vituo vya Mradi wa jenga kesho yako iliyo bora (BBT).

Na Oscar Assenga, MUHEZA
TBS YATEKETEZA SHEHENA YA BIDHAA HAFIFU ZA VIPODOZI NA CHAKULA MKOANI MWANZA
Monday, 15 May 2023
USHINDI RAHISI MERIDIANBET KASINO

Sloti ya Wild Hot 40
Moja kati ya mchezo ambao unakupa matumaini ya kuongeza hela kwenye dau lako uliloweka ni sloti ya Wild Hot 40 kutoka kasino mtandaoni, inakuhakikishia ushindi mkubwa kwa kuwa ina Jackpot 3 za ushindi ambazo ni Gold, Platinum na Diamond.
Jinsi ya Kucheza Sloti ya Wild Hot 40
Sloti hii ya Wild Hot 40 inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, inasifika kwa uchezaji wake rahisi haswa katika muundo wa alama za matunda na muundo wa kolamu 5 na mistari 40 ya malipo.
Matunda hayo ni Ndizi, Tufaa (Apple) na Strawberry ambapo ukipata alama hizi 5, utapata mara 2.5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Kengele, unarudishiwa mara 5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama ya namba 7 za bahati, utapata mara 10 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Wild, utarudishiwa mara 25 ya dau uliloweka wakati ukipatia alama 5 za Scatter utarudishiwa zaidi ya mara 500 ya dau lako.
Kubwa Zaidi ni kwamba Sloti hii kutoka kasino ya mtandaoni inakuja na chaguo la Gamble ambalo litakuletea mara 2 ya faida uliyoipata kwenye ushindi wako.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.
SERIKALI YATHIBITISHA HAKUNA MWANANCHI ALIYENYANYASWA WALA MIFUGO ILIYOPORWA KATIKA SAKATA LA MBARALI
PROGRAM YA KUENDELEZA KILIMO NA UVUVI AFDP KUBORESHA MAZINGIRA YA UVUVI KILWA.



Mtaalamu wa masuala ya Lishe na Jinsia Bi. Irene Mbando, kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu akizingumzia namna ambavyo Programu Hiyo itakavyohusisha masuala ya Lishe na jinsia.

Mfanya biashara wa dagaa,katika kata ya KILWA kivinje Wilayani KILWA, Mkoani Lindi akianika dagaa katika chanja ya kienyeji, ambapo programu ya kuendeleza Kilimo na uvuvi (AFDP) Itaenda kuwajengea chanja za kisasa.







.jpeg)

.jpeg)

