Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akisalimiana na familia ya marehemu Bi. Naserian Parshuku alipokwenda kutoa pole kwa mume wa marehemu Philemon Parshuku eneo la Kimindorosi Olisiti Arusha tarehe 1 Machi 2023.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu pamoja na viongozi wengine wa Serikali kabla ya kufungua Mkutano wa Faragha wa viongozi hao uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha...
Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS),Dkt.Athuman Ngenya akiongoza Kikao cha Waagizaji, Wazalishaji na Wasambazaji wa Mifuko Mbadala na Vifungashio vya Plastiki , Kikao ambacho kimefanyika leo Machi 2,2023 katika Ofisi za TBS Makao Mkuu Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Viwango...