Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Sophia Mjema akikabidhi funguo kwa mwendesha bodaboda. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akifuatiwa na Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imekabidhi...
Friday, 2 December 2022
WAZIRI MKENDA AHIMIZA UFUNDISHWAJI WA SOMO LA MAENDELEO VYUO VIKUU

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda ametoa wito kwa Vyuo Vikuu nchini kufundisha Somo la Maendeleo (Development Studies) kwa namna ambayo itachochea wanafunzi kuwa wadadisi.
Akizungumza leo Desemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Taasisi ya...
Thursday, 1 December 2022
NECTA YAZUIA MATOKEO YA WATAHINIWA 540

Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani, Athumani Amasi (kushoto) akitangaza matokeo ya mtihani wa elimu ya shule za msingi kwa mwaka 2022, jijini Dar es Salaam.
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limezuia matokeo ya watahiniwa 540 kutoka vituo sita vya mitihani ndani ya jiji la Dar es Salaam baada...
GGML YAWEKA REKODI MAPAMBANO DHIDI YA VVU/ UKIMWI

Baadhi washiriki Kampeni ya GGM Kili Challenge 2022 waliopanda mlima Kilimanjaro kwa lengo la kukusanya fedha za mapambano dhidi ya VVU. Mwaka huu jumla ya Sh bilioni 1.1 ilikusanywa na GGML kupitia wadau mbalimbali.
NA MWANDISHI WETU
WAKATI leo ikiwa ni kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
UNESCO KUONGEZA UWEZO WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU NA KATI KUTOA ELIMU YA STADI ZA MAISHA INAYOLENGA AFYA YA UZAZI, VVU/UKIMWI NA JINSIA KWA NJIA YA MTANDAO.

Mgeni rasmi Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) akisikiliza maelezo kuhusu Kozi mtandaoni ya Stadi za Maisha, VVU/UKIMWI na Jinsia kwa vyuo vya elimu ya juu na kati.
30 Novemba 2022, Lindi.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni...
TAKUKURU YASHIRIKIANA NA WADAU KUZIBA MIANYA YA RUSHWA, YATIA MGUU VIBANDA VYA BIASHARA MANISPAA YA SHINYANGA
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Shinyanga, Donasian Kessy akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Desemba 1,2022
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Shinyanga, Donasian Kessy akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Desemba 1,2022
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Shinyanga, Donasian Kessy ...
WAZIRI DKT MABULA ASIKITISHWA NA WATENDAJI WA SEKTA YA ARDHI IRINGA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Angeline Mabula akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi mkoani Iringa wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa huo jana. Sehemu ya watendaji wa sekta ya ardhi wakimsikiliza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
UTT YATOA ELIMU KWA WAJUMBE WA TFC SINGIDA

Afisa Mwandamizi Idara ya Masoko na Mawasiliano wa UTT AMAS Grace Ngailo akizungumza alipokuwa akitoa mada kwa wajumbe wa semina ya siku moja ya viongozi wa vyama vya ushirika nchini kabla ya kufanyika kwa mkutano skuu wa Shirikisho la Vyama vya ushirika Tanzania (TFC) Mkoani Singida.
Katibu Mtendaji...