Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatunuku Wahitimu Digirii za Umahiri ya Elimu katika Taaluma za Mitaala kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatunuku Wahitimu Digirii za Umahiri ya Elimu katika Uongozi wa Elimu na Taaluma za Sera kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatunuku Wahitimu Digirii za Umahiri, Stashahada ya Uzamili na Digirii za Awali kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapatia zawadi ya vyeti wahitimu waliofanya vizuri kwenye masomo yao kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar akizungumza kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof.William Anangisye akizungumza kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Rasi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof.Stephen Maluka akizungumza kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Rasi-Taaluma, Utafiti na ushauri Elekezi, Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam, Dkt.Christina Raphael Isingo akizungumza kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Boniventure Rutinwa akizungumza kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wahitimu waliofanya vizuri kwenye masomo yao akisoma hotuba kwa niaba ya wahitimu kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wakuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika Maandamano kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE)
Wahitimu wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) wakiwa kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Wakuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Wakuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi yawadau wa chuo hicho kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Wakuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) kwenye Mahafali ya 15 ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yaliyofanyika chuoni hapo leo Novemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.














