MICHAEL Methew mwenye umri wa miaka 33 mkazi wa Kijiji na Kata ya Mashete wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa anadaiwa kumuua mke wake kwa kumkata kichwa na kukitenganisha na kiwiliwili na kisha kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia mnyororo aliokuwa akitumia kufungia ng'ombe wake.
Tukio hilo limetokea Januari...
Wednesday, 5 January 2022
CCM DODOMA YAWATAKA WANA CCM KUACHA USALITI, MAJUNGU NA ROHO MBAYA...'RAIS NI MMOJA TU AHESHIMIWE'
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma,Dkt. Damas Mukkasa
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma, Dkt. Damas Mukkasa
Na Dotto Kwilasa,Malunde 1 blog,Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma kimewataka baadhi ya wanachama...
Tuesday, 4 January 2022
RAIS SAMIA AMLIPUA SPIKA NDUGAI ..KUKOPA SIYO KIOJA..KINACHOSUMBUA NI STRESS YA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameeleza kushangazwa na kauli za Spika wa Bunge Job Ndugai kusimama hadharani na kukosoa mkopo wa Shilingi Trilioni 1.3 kutoka shirika la Fedha Duniani (IMF) wenye lengo la kuchochea mapambano dhidi ya UVIKO -19 wakati taarifa mbalimbali...
RAIS SAMIA ATANGAZA KUTEUA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA WAPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni atafanya mabadiliko ya viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa.
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumanne Januari 4,2022 Jijini Dar es salaama wakati akipokea taarifa ya utekelezaji...
Naibu Waziri Ummy Aeleza Mikakati Ya Serikali Ya Kuboresha Mazingira Ya Watu Wenye Ulemavu
NA. MWANDISHI WETU
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya watu wenye ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga amesema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya watu wenye ulemavu ikiwemo ujenzi na ukarabati wa vyuo ili kuendelea kutatua changamoto wanazokutana nazo.
Ametoa kauli hiyo...
WAZIRI WA FEDHA : DENI LA TAIFA NI HIMILIFU...HAKUNA ATAKAYEGONGEWA MLANGO KUDAIWA

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa deni la taifa ni himilivu na kwamba hakuna Mtanzania yeyote atakayegongewa mlango wake ama kuamriwa kuuza mali yake ili kulipa deni la Taifa.
Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Jumanne, Januari 4, 2022 wakati akiwasilisha ripoti ya matumizi...
AUA WATOTO WAKE NAYE KUJIUA KISA MUMEWE KUCHEPUKA

MWANAMKE mmoja, Hellen Vuyanzi (35) amejichoma moto yeye na watoto wake wawili kwa kinachodaiwa kuwa ni kutofautiana na mumewe kutokana na wivu wa mapenzi katika Kijiji cha Sirende eneo la bunge la Lugari.
Katika tukio hilo la siku ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa 2022 katika Kaunti Ndogo ya Lugari,...
SERIKALI YAONGEZA MIEZI 6 KUWASILISHA TAARIFA ZA WAMILIKI MANUFAA WA KAMPUNI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Prof.Kitila Mkumbo,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Januari 4,2022 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya kuongeza muda wa kuwasilisha taarifa za wamiliki manufaa wa Kampuni (Beneficial Owners).Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Usajili...
Live : RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MATUMIZI WA FEDHA ZA UVIKO - 19
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa mgeni rasmi katika hafla ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa matumizi ya fedha za maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Virusi vya Korona (UVIKO-19) leo Januari 4,2022 Ikulu jijini Dar es Salaam.Tazama...
RAIS SAMIA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI ABUBAKAR BIN ZUBEIR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022.
PICHA NA IKUL...
BROTHERHOOD SURVEY SERVICES CO.LTD WATANGAZA MRADI MPYA WA VIWANJA SHINYANGA MJINI....KIWANJA CHAKO KIPO KUANZIA LAKI 5 TU
Karibu Brotherhood Survey Services Company Limited!
Tuna mradi mpya sasa unaopatikana eneo la Mwalugoye kata ya Chibe Manispaa ya Shinyanga
Kwa bei nafuu kabisa.
Tunauza mita moja ya mraba shilingi 2,500/= za Kitanzania
Pamoja na hati miliki.
Tuna viwanja kuanzia bei ya laki 562,500/= na kuendelea...
Monday, 3 January 2022
MCHUNGAJI AWAVUA NGUO WANAWAKE ' LIVE' KANISANI..AWAPAKA MAFUTA YA UPAKO WAOLEWE
Haya ni maajabu ya fungua mwaka!, ama kweli basi humu duniani hakuishi vituko kila kuchao.
Mchungaji wa kanisa moja nchini Ghana katika mitandao ya kijamii akiwavua nguo wanawake tena kanisani na kuwaogesha na kuwapaka mafuta huku ikidaiwa kwamba kufanya hivyo ni kuwapa upako...
RAIS MWINYI AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar, Dk. Saleh Yusuf Mnemo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar, Mhandisi Zena...
AHMED ALLY : NDOTO IMETIMIA KWENDA KUFANYA KAZI NDANI YA SIMBA SC

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba SC Ahmed Ally, amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kupata wadhifa huo. Ahmed ameonesha furaha yake na tayari yuko njiani kuelekea Zanzibar kuungana na kikosi kwenye Mapinduzi Cup.
Alichokisema Ahmed; “Nimeipokea nafasi hii...
BWANYENYE KAMCHUKUA MKE WANGU
Tulikuwa tumeenda hospitalini kumpeleka mtoto wetu kufanyiwa vipimo vya Maleria Ijumaa iliyopita ndipo hili jambo lilipotokea.
Mimi na kipenzi Aisha tulichukua bodaboda hadi mji wa Mbeya kuliko hiyo hospitali ya watoto, na tulipofika kisha tukaketi kwa kiti cha wageni kilichokuwa hapo kwa daktari...
BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMPENI KUHAMASISHA WATANZANIA KUTUMIA HUDUMA NA BIDHAA BUNIFU CRDB
Benki ya CRDB imewataka Watanzania kutumia huduma na bidhaa bunifu zinazotolewa na benki hiyo kwa makundi mbalimbali ya wateja kufanikisha malengo waliyojiwekea katika mwaka huu mpya wa 2022. Hayo yamesemwa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Unachostahili ni CRDB Bank” inayolenga katika kutoa elimu...