Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja akihutubia Kongamano la Uwekezaji la Sekta ya Utalii lililofanyika hoteli ya Shangri-La Dubai
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja akifurahia zawadi aliyopewa na Waziri wa zamani wa Mazingira na Maji-UAE, Dkt.Mohammed Al Kindi (hayupo pichani) kwa kuthamini mchango wake kwenye kukuza utalii Tanzania katika Kongamano la Uwekezaji la Sekta ya Utalii lililofanyika hoteli ya Shangri-La Dubai.
Mkurugenzi wa Masoko kutoka Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Bi. Hafsa Mbanga akichangia mada katika Kongamano la Uwekezaji la Sekta ya Utalii lililofanyika hoteli ya Shangri-la Dubai. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi
Baadhi ya Wanajumuiya ya Wafanyabiashara Dubai wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja alipokuwa akihutubia Kongamano la Uwekezaji la Sekta ya Utalii lililofanyika hoteli ya Shangri-la Dubai.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi akizungumza na wawekezaji kuhusu mifumo mizuri inayoruhusu uwekezaji Tanzania katika Kongamano la Uwekezaji la Sekta ya Utalii lililofanyika hoteli ya Shangri-la Dubai
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja akikabidhiwa zawadi na Waziri wa zamani wa Mazingira na Maji UAE, Mhe. Dkt. Mohammed Al Kindi kwa kuthamini mchango wake katika kukuza utalii nchini Tanzania wakati wa Kongamano la Uwekezaji la Sekta ya Utalii lililofanyika hoteli ya Shangri-la Dubai. Anayeshuhudia ni Mwanzilishi & Mtendaji Mkuu wa Mtandao wa Vilabu Duniani, Dkt. Tariq Ahmed Nizami.


Sehemu ya majengo ya mradi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa Morocco Square jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiangalia sehemu ya majengo ya mradi wa Mji wa Kawe yaliyokwama kwa muda sasa alipofanya ziara mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Dkt Maulid Banyani.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dkt Maulid Banyani wakitoka kukagua majengo ya mradi wa Mji wa Kawe alipofanya ziara mwishoni mwa wiki. 