Position Title: Supply Clerk (Property Clerk About Announcement Number: Dar es Salaam-2021-051 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Supply Clerk (Property Clerk) (All Interested Candidates) Open Period: 12/01/2021 – 12/15/2021 This vacancy is limited to a certain number of applicants and may close before the close date listed here if that limit is reached. […]
This post...
Thursday, 2 December 2021
Storekeeper at U.S. Embassy Dar es Salaam
Storekeeper (All Interested Candidates) Announcement Number: Dar es Salaam-2021-050 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Open Period: 12/01/2021 – 12/15/2021 This vacancy is limited to a certain number of applicants and may close before the close date listed here if that limit is reached. Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0805 5 Salary: Not […]
This post Storekeeper at U.S....
Customs Expeditor at U.S. Embassy Dar es Salaam
Position Title: Customs Expeditor (All Interested Candidates) Announcement Number: Dar es Salaam-2021-047 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Open Period: 12/01/2021 – 12/15/2021 This vacancy is limited to a certain number of applicants and may close before the close date listed here if that limit is reached. Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0905 6 Salary: […]
This...
Freeman Mbowe na Wenzake Wafunga Ushahidi....Uamuzi wa Kesi Ndogo ndani ya Kesi ya Msingi Kutolewa Disemba 14
Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo ya kupinga maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa tatu, Mohammed Abdillah Ling’wenya yapokelewe au la tarehe 14 Desemba 2021.
Ni baada ya upande wa utetezi katika kesi hiyo ndogo...
Jela Miaka 30 Kwa Kubaka, Kumpa Mwanafunzi Ujauzito
Na Amiri Kilagalila,Njombe
MAHAKAMA ya wilaya ya Njombe imemuhukumu Bright Peter Dismas (25) mkazi wa Kitisi halmashauri ya mji wa Makambako kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili likiwemo la ubakaji na kumpa ujauzito mwanafunzi.
Hukumu hiyo imetolewa jana na...
Majaliwa: Hatua Kali Zichukuliwe Kwa Wanaowanyanyapaa Waviu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka husika kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika kuwanyanyapaa na kuwabagua Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (WAVIU) kwa kuwa vitendo, kauli au mitazamo ya unyanyapaa na ubaguzi kwa kundi hilo havikubaliki.
“Kumekuwa na madai kuwa watumishi...
Wednesday, 1 December 2021
Wauza Madini Feki Wanaswa Sikonge
Na Lucas Raphael,Tabora
Mwanamke mmoja mkazi wa mkoani wa Arusha amekamatwa na Jeshi la Polisi katika stendi ya mabasi wilayani Sikonge Mkoani Tabora kwa tuhuma za kukutwa na madini feki aina ya Dhahabu waliyokuwa wakiwauzia wananchi wa kishrikiana na dereva wake .
Akitoa taarifa kwa...
REA YATAMBULISHA WAKANDARASI NA KUKABIDHI MIKATABA YA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJI 216 SHINYANGA
Kaimu Mkurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Elineema Mkumbo (kushoto) akimkabidhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zuwena Omary Mikataba itakayotumiwa na Wakandarasi kutekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili unaotarajia...
Tanzania Yanadi Vivutio Vyake Vya Utalii Kwenye Mkutano Mkuu Wa 24 Wa Utalii Duniani Nchini Hispania
NA MWANDISHI MAALUM, MADRID, HISPANIA
UJUMBE wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro upo nchini Hispania, katika Jiji la Madrid kushiriki mkutano mkuu wa 24 wa Kimataifa wa Utalii Duniani ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa linaloshughulikia masuala ya...
Tanzania yafuzu kombe la Dunia mchezo wa soka kwa wenye ulemavu.
Na. John Mapepele
Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa timu ya kwanza miongoni mwa timu nne zinazoingia nusu fainali ya Soka ya Bara la Afrika kwa ...
Kamishna Mkuu TRA Awapongeza Wanamichezo Kwa Kuibuka Washindi Shimmuta
Na Mwandishi wetu
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania amewapongeza watumishi wa Mamlaka hiyo ambao ni wanamichezo kwa kuibuka washindi katika michuano ya SHIMMUTA iliyokuwa ikitimua vumbi hivi karibuni Mkoani Morogoro kwa kutwaa vikombe vitano vya ushindi katika michezo mbalimbali.
Akizungumza...
Zijue Sifa Za Camon 18 Premier Sifa Kuu Za Camon 18 Premier
Camon 18 inakuja na sifa mbalimbali kali, ila izi 5 ndizo zimeikonga nyoyo za watumiaji simu, zaidi wale wapenda simu janja(smartphone). TECNO CAMON 18 inakuja na kamera ya kisasa inakwenda kwa jina la GIMBAL CAMERA ambayo inauweza wa kuchukua video ikiwa clear bila kucheza cheza. Kwa mfano upo...
Serikali Inashugulikia Hali Ya Upatikanaji Wa Mbolea Nchini - Majaliwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na jitihada za kushughulikia hali ya upatikanaji wa mbolea nchini ili kukabiliana na uhaba uliojitokeza ambao umesababisha kuongezeka kwa bei.
Mheshimiwa Majaliwa amesema wakati Serikali inaendelea na jitihada hizo ni vyema pia wananchi wakatumia...
Procurement Associate at SokoWatch
Procurement Associate Dar Es Salaam, TZContractFMCG About Us: Sokowatch is transforming communities across Africa by revolutionizing access to essential goods and services. By connecting small shops to the digital economy, we fix inefficient supply chains and provide services previously unavailable to informal businesses. Sokowatch aims to provide everything a retailer needs, no wholesalers...
Sales and marketing Cum Assistant Accountant at Fastlink Safaris Limited
Sales and marketing Cum Assistant Accountant Summary: Fastlink Safaris Limited is looking for sales and marketing officer. Job Description: This role includes research and development of various marketing strategies for our products and services. You will implement marketing plans and work to meet sales quotas. Tracking marketing and sales data and identifies...