Thursday, 1 July 2021

Commis 2 at Four Seasons Hotels and Resorts July 2021

Prepare food items according to guest orders of consistent quality following recipe cards, as well as production, portion, and presentation standards; complete mis en place and set-up station for breakfast, lunch, and/or dinner service. This position is for Tanzanians only and must have at least 1-2 years previous experience in a Luxury property / kitchen.  Prepare […] This post Commis...
Share:

Regional Strategic Information (SI) Officer – Kilimanjaro at FHI 360 J

FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff include experts in Health, Education, Nutrition, Environment, Economic Development, Civil Society, Gender, Youth, Research and Technology; creating a unique mix of capabilities to address today’s interrelated development challenges. FHI 360...
Share:

Assistant Surveyor at TANROADS

Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Executive Agency under the Ministry of Works and Transport, established under section 3 (1) of the Executive Agencies Act (Cap 245) and came into operation in July, 2000. The Agency is responsible for the Maintenance and development of the trunk and Regional road network in Tanzania. The Regional […] This post Assistant Surveyor at TANROADS has been...
Share:

Highway Engineer at TANROADS

Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Executive Agency under the Ministry of Works and Transport, established under section 3 (1) of the Executive Agencies Act (Cap 245) and came into operation in July, 2000. The Agency is responsible for the Maintenance and development of the trunk and Regional road network in Tanzania. The Regional […] This post Highway Engineer at TANROADS has been posted...
Share:

Topographical Survey at TANROADS

Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Executive Agency under the Ministry of Works and Transport, established under section 3 (1) of the Executive Agencies Act (Cap 245) and came into operation in July, 2000. The Agency is responsible for the Maintenance and development of the trunk and Regional road network in Tanzania. The Regional […] This post Topographical Survey at TANROADS has been...
Share:

Airport Services Duty Supervisor at Qatar Airways

About the role We are looking for an experienced customer focused individual with previous airline supervisory experience to join our Ground Services team in Zanzibar, Tanzania as an Airport Services Duty Supervisor. Reporting directly to the Duty Officer you will supervise your team to deliver exceptional customer service to our customers to ensure they receive the […] This post Airport Services...
Share:

Health and Nutrition Team Leader at World Vision

JOB PURPOSE   To provide technical leadership and coordination of all Health and Nutrition interventions for WV Tanzania to ensure the realization of Our Promise. The incumbent staff will lead the development of all H&N technical approaches for the NO. S/he will actively pursue resource mobilization strategies for the sector, lead on proposal development, writing […] This post Health and...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 1,2021

Magazetini leo Alhamisi July 1 2021 ...
Share:

AMTEKA, KUMUUA KISHA KUMZIKA MREMBO AKIDAI PESA ALIZOMHONGA

Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake aitwaye Esta John (28) mkazi wa Ibamba Wilaya Bukombe Mkoani humo ambaye kabla ya kifo chake alitekwa nyara na mpenzi wake. Katika taarifa ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita...
Share:

PROF. OLE GABRIEL : SEKTA YA MIFUGO INA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza wakati wa hafla ya kuwapatia vyeti wauza wa pembejeo sita waliochaguliwa kushiriki katika kutoa huduma za ugani kwa wafugaji walioko maeneo ya Dar es Salaa, Pwani, Morogoro na Tanga. Mratibu...
Share:

Tanzia : ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU SHINYANGA 'SHIREFA' BENESTA RUGORA AFARIKI DUNIA

  Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Shinyanga (SHIREFA)  kwa muda mrefu Benesta Rugora amefariki dunia leo Jumatano Juni 30,2021 saa  8: 30 mchana wakati akiendelea kupata matibabu katika hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza....
Share:

Wednesday, 30 June 2021

SEKTA YA MIFUGO INA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI-PROF.OLE GABRIE

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza wakati wa hafla ya kuwapatia vyeti wauza wa pembejeo sita waliochaguliwa kushiriki katika kutoa huduma za ugani kwa wafugaji walioko maeneo ya Dar es Salaa, Pwani, Morogoro na Tanga. Mratibu...
Share:

Rais Samia Akutana Na Katibu Mtendaji Wa Sekretarieti Ya Eneo Huru La Biashara Afrika

...
Share:

Maswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna ya Kuyajibu

Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili. Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali unayoulizwa  na watu ambao wamekuzunguka wakati wa kufanyiwa usaili. Njia moja ya kuzuia hii kutokea...
Share:

FAINALI ZA KIHISTORIA UMISSETA 2021 ZAUNGURUMA MTWARA

A.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Hassan Abbasi (aliyejishika kidevu) akiangalia  mechi ya nusu fainali baina ya timu ya Mtwara na Dodoma ambapo Mtwara imeshida bao 1 na Dodoma 0. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya kuchoto ni Mkurugenzi...
Share:

Majaliwa: Wizara Kilimo Simamieni Kilimo Cha Ngano Na Zabibu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo isimamie upatikanaji wa mbegu bora katika kilimo cha ngano na zabibu pamoja na kuweka mpango mzuri utakaosimamia na kuendeleza kilimo cha mazao hayo .  “…Utoaji wa vibali kwa wanunuzi wa ngano na mchuzi wa zabibu ufanywe kwa kuzingatia...
Share:

Majaliwa: Tumepunguza Siku Za Kushughulikia Maombi Ya Vibali

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema utaratibu wa utoaji wa vibali vya ukaazi kwa kutumia mfumo wa kielektroniki umesaidia kupunguza hatua za kuchakata maombi kutoka siku 33 za hadi saba. Amesema kuwa kwa sasa waombaji hawalazimiki kwenda katika Ofisi za Kazi kwa sababu taarifa zote zinapatikana...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger