This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
Market Sales Manager TalentintheCloud International Zanzibar West, Tanzania The continent’s most successful and fastest growing payments company is looking to add a talented and experienced Market Sales Manager to their team. Since identifying a gap in the African online payments...
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
POST: MEDICAL SPECIALIST II (DERMATOLOGIST) – 1 POST POST CATEGORY(S) HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL EMPLOYER Muhimbili National Hospital APPLICATION TIMELINE: 2021-02-26 2021-03-11 DUTIES AND RESPONSIBILITIES To provide routine specialized medical services...
Andrew Mollel enzi za uhai wake
Na Mussa Juma - Arusha
Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo.
Akizungumza na Mwananchi leo, Februari 28,...
Mtu mmoja ameuawa na Jogoo wake aliyekuwa amefungwa kisu mguuni kwa ajili ya mchezo uliopigwa marufuku wa kupambanisha jogoo Kusini mwa India.
Mmiliki wa jogoo alichomwa kisu usawa wa kati ya tumbo na nyonga wakati kuku huyo akijaribu kutoroka. Mwanaume huyo alipoteza maisha akiwa njiani kuelekea...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akipanda kwenye tanki la Mradi wa maji Lusilile, Manyoni kujiridhisha na viwango vya ujenzi wake.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akikabidhi Mkataba kwa Jumuiya ya Watumiaji maji kwa mmoja wa wakazi wa kijiji cha Kashangu Itigi wilayani Manyoni. Wanaoshuhudia makabidhiano...
Askofu wa Kanisa la EAGT Ushirika Makimbilio Healing Center mjini Shinyanga, Raphael Machimu akionesha DVD ya Wimbo Maalumu wa Picha uliopewa jina la Tanzania ya Amani kutoka Dynamic Choir EAGT Ushirika Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Tazama Video : Dynamic Choir EAGT Ushirika...