Sunday, 28 February 2021

Picha : ASKOFU MACHIMU AZINDUA WIMBO MAALUMU WA TANZANIA YA AMANI WA KWAYA YA DYNAMIC EAGT...AONGOZA MAOMBI DHIDI YA CORONA

Askofu wa Kanisa la EAGT Ushirika Makimbilio Healing Center mjini Shinyanga, Raphael Machimu akionesha DVD ya Wimbo Maalumu wa Picha uliopewa jina la Tanzania ya Amani kutoka Dynamic Choir EAGT Ushirika Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Tazama Video : Dynamic Choir EAGT Ushirika...
Share:

MKURUGENZI WA SHIRIKA LA AGRI THAMANI FOUNDATION MH NEEMA LUGANGIRA AONGOZA ZOEZI LA KUGAWA TAULO ZA KIKE WANAFUNZI 1,800 MANISPAA YA BUKOBA

  MKURUGENZI wa Agri Thamani ambaye Pia ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia NGOs Mh Neema Lugangira akigawa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule za Sekondari WANAFUNZI wa kike wa shule za Sekondari wakifurahia kupokea mfuko wao uliojaa taulo za kike za kutosha mwaka mzima kwa kila...
Share:

NAIBU WAZIRI WA MAJI AAHIDI NEEMA YA MAJI KIJIJI CHA KAZENGA

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi. Maryprisca Mahundi (Mb) amewataka wananchi wa kijiji cha Kazenga wilaya ya Chato mkoani Geita kutunza miundombinu ya maji ili iwe endelevu kwa vizazi vijavyo.  Ameongea hayo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kazenga  waliosimamisha...
Share:

MBUNGE KEMBAKI :HATA TUKIVAA BARAKOA KAMA MUNGU HAYUPO PAMOJA NA SISI NI BURE

Aliyenyoosha mkono ni Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato mtaa wa Majengo wilayani Tarime akifanya maombi maalumu kumwombea Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Michael Kembaki (aliyevaa tai nyekundu). Picha na Dinna Maningo Aliyenyoosha mkono ni Mchungaji wa kanisa la Waadventista Wasabato...
Share:

SHIRIKA LA GCI LATOA ELIMU YA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO KWA WANAUME WANYWA KAHAWA SHINYANGA MJINI

Meneja Mradi wa Sauti ya Mwanamke na Mtoto wa Shirika la GCI, Victoria Emmanuel (kulia) akizungumza wakati akitoa elimu kuhusu madhara ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto kwa wanaume wanaokunywa Kahawa katika eneo la Nguzo Nane Mjini Shinyanga. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Shirika la Green...
Share:

NAIBU WAZIRI MARY PRISCA ATOA ONYO KWA MENEJA WA RUWASA CHATO

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ametoa onyo kwa Meneja wa Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Chato Mhandisi Andrew Kilembe kwa kushindwa kutatua kwa wakati kero ya ubovu wa mita za maji zilizowekwa katika mradi wa maji wa Imalabupina Inchwankima...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger