Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba (katikati) akiwa ameambatana na Maafisa wa Polisi Mkoa wa Shinyanga akiingia katika ukumbi wa Nyakahara Mjini Shinyanga kwa ajili ya kuongoza Sherehe Maalumu kwa Askari polisi na familia zao ‘Shinyanga Police Family Day 2020’ kwa ajili ya...