Saturday, 1 August 2020

Tazama Picha : SHEREHE YA ASKARI POLISI NA WAKE ZAO ‘SHINYANGA POLICE FAMILY DAY 2020’ GUMZO SHINYANGA..RPC AGUSA NDOA ZA ASKARI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba (katikati) akiwa ameambatana na Maafisa wa Polisi Mkoa wa Shinyanga akiingia katika ukumbi wa Nyakahara Mjini Shinyanga kwa ajili ya kuongoza Sherehe Maalumu kwa Askari polisi na familia zao ‘Shinyanga Police Family Day 2020’ kwa ajili ya...
Share:

Friday, 31 July 2020

MWANAMKE AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUWANYANYASA KINGONO WATOTO 7 WA KIKE

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Irene James mwenye umri wa miaka 36 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora akituhumiwa kuwafanyia unyanyasaji wa kingono Watoto saba wa kike  jirani zake wenye umri kati ya miaka 4 hadi 7 kwa kuwaingizia vidole sehemu za siri. Akisoma maelezo ya...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger