
Uongozi wa Klabu ya Yanga wakishirikiana na wadhamini wao Kampuni ya GSM Mei 31 wameingia mkataba wa misimu minne wa makubaliano ya kimaendeleo ya timu hiyo na kampuni La Liga
Makubaliano ya kuingia mkataba huo yalifikiwa juzi kwenye Hoteli ya Serena, jijini Dar ambayo yatahusisha maendeleo...