Thursday, 3 October 2019

MTUMISHI WA AFYA AJINYONGA KWA WAYA JUU YA MTI KAHAMA

Mtumishi wa afya kituo cha afya Ushetu wilayani Kahama,Moses Amasha Mbilinyi (26) amefariki dunia kwa kunyonga kwa kutumia waya wa Extension juu ya mti nje ya nyumba aliyopanga. Kwa Mujibu wa Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Adax Majaliwa tukio hilo limetokea Septemba 29,2019 majira kati...
Share:

Waziri Jafo Awataka Wakurugenzi Wapya Wajiamini na kusimamia vyema mapato na miradi mbalimbali ya maendeleo

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa[TAMISEMI] Mhe.Seleman Jafo amewataka Wakurugenzi wapya 10 walioteuliwa hivi Karibuni na Rais Magufuli kujiamini katika nafasi zao na kusimamia mahusiano mema ya Utumishi.   Waziri Jafo amesema hayo...
Share:

Waziri wa Kilimo Atangaza Bei Elekezi Kwa Mbolea Ya Kukuzia (Urea) Kwa Msimu Wa Kilimo 2019/2020

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam Katika kuhakikisha kuwa tija ya uzalishaji wa mazao ya kilimo inaongezeka ili kujitosheleza kwa chakula na malighafi za viwandani; serikali imeendelea kuhamasisha matumizi ya mbolea ili kufikia kilo 50 za virutubisho kwa hekta moja kama ilivyopendekezwa...
Share:

MGANGA WA KIENYEJI ADAIWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 8 MAMA AKINUNUA WEMBE

Mganga wa kienyeji mkazi wa Ujiji, Venas Edward (48), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Mkoa wa Kigoma kwa madai ya kumbaka mtoto msichana mwenye umri wa miaka minane. Akisomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Katoki Mwakitalu, mshtakiwa huyo alikana kutenda kosa hilo na...
Share:

Bodi Ya Wakurugenzi Ya Mamlaka Ya Maji Morogoro Yavunjwa

Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA)imevunjwa. Hatua hiyo imechukuliwa na Waziri wa Maji Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kuanzia tarehe 02 Oktoba, 2019. Taarifa ya Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo imeainisha kuwa kuvunjwa kwa bodi hiyo...
Share:

Ongeza Nguvu Za Kiume, Maumbire Madogo Pamoja Na Tiba Mbalimbali

MASISA 3 POWER nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa muundo wa vidonge na unga  , Huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80)   Inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii)  inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa  tendo la ndoa na itakufanya...
Share:

Maeneo manne yanayoashiria matumaini ya ugunduzi wa rasilimali ya Mafuta nchini Tanzania

Serikali ya Tanzania ametaja maeneo manne yanayoashiria matumaini ya ugunduzi wa rasilimali ya Mafuta nchini kwa siku za usoni kupitia shughuli za utafiti zinazoendelea. Maeneo aliyoyataja ni pamoja na ya ukanda wa Ziwa Rukwa, Ziwa Tanganyika na Kitalu cha Eyasi Wembere chenye ukubwa wa kilometa...
Share:

Tambua Visababishi Vikuu Vinavyosababisha Kupungukiwa Nguvu Za Kiume Na Maumbile madogo

1 ugonjwa wa kisukari, 2 presha,usongo wa mawazo,3 magonjwa ya moyo 4 ngiri tumbo, kuunguruma na kuumwa chini ya kitovu 5 kupiga punyeto kwa mda mrefu 6 kukosa choo au kupata choo kama cha mbuzi 7.maumivu ya mgongo na kiuno 8. joto kali kwenye mfuko wa korodani Ni nini tiba ya nguvu za kiume; MAJINJAS...
Share:

Waziri wa Nishati Dk. Medard Kalemani amemsimamisha kazi Msimamizi wa Mitambo wa Kituo cha kupooza Umeme cha Ubungo

Waziri wa Nishati Dk. Medard Kalemani amemsimamisha kazi Msimamizi wa Mitambo wa Kituo cha kupooza Umeme cha Ubungo Samson Mwangalume, kwa uzembe uliosababisha kukatika umeme jana usiku Oktoba 2, 2019, karibu Jiji zima la Dar es Salaam  huku chanzo kikielezwa kuwa ni uchafu wa vikombe katika...
Share:

Afisa mtendaji Kortini Kwa Kujeruhi

Afisa mtendaji wa Kata Syridion Michael (40) mkazi wa kinondoni amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi kinondoni kwa kosa la kujeruhi. Akisomewa hati ya mashtaka mbele ya hakimu Happiness Kikoga na Wakili wa Serikali Ester chale alidai Agosti 1, 2019 eneo la kinondoni mkwajuni wilayani...
Share:

Naibu Waziri wa Fedha Dkt. Kijaji Aitaka TRA Kuongeza Wigo Wa Walipa Kodi

Na Ramadhani Kissimba, WFM, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Kuandaa Mkakati mahsusi utakaosaidia kuongeza wigo wa walipa kodi nchini kutoka idadi ya walipa kodi elfu mbili waliopo sasa. Dkt. Kijaji aliyasema hayo alipofanya...
Share:

Malipo Ya Wakulima Wa Pamba Simiyu Kufanyika Kielektroniki

Na Stella Kalinga, Simiyu RS Malipo ya Wakulima wa zao la Pamba Mkoani Simiyu, katika msimu ujao yanatarajiwa kufanyika kwa mfumo wa kielektroniki kupitia huduma ya T-PESA ya Shirika la Mawasiliano Tanzania(TTCL). Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka katika Mkutano wa...
Share:

Korea Kaskazini Yazindua Kombora Hatari la Majini

Korea kaskazini imethibitisha kufanya jaribio la kurusha aina mpya ya kombora, baada ya kufanikiwa kurusha makombora ya masafa mafupi tangu mwezi Mei. Jaribio hili nchini humo ni la kumi na moja kwa mwaka huu ambapo makombora yenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia yanarushwa. Lakini utofauti wa...
Share:

Waziri Mkuu: Tusiruhusu Mfumo Mpya Ununuzi Wa Korosho

WAZIRI MKUU  Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote inayolima korosho nchini wahakikishe wanasimamia vizuri zao hilo na wasiruhusu kuingizwa kwa mfumo mpya wa ununuzi ambao haujaeleweka kwa wadau na wanunuzi. “Mabadiliko  ya mifumo yalitolewa na baadhi ya viongozi ambao sio waaminifu,...
Share:

Mafia Yatakiwa Kujipanga Uwekezaji Sekta Ya Utalii

Na Munir Shemweta, WANMM MAFIA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka halmashauri ya wilaya ya Mafia mkoa wa Pwani kuandaa mazingira kupokea uwekezaji wa utalii kwa kupanga na kupima maeneo yake kwa lengo la kuhamasisha wawekezaji wa sekta ya utalii. Dkt...
Share:

CHADEMA Walimwa Barua na Msajili wa Vyama Kwa Kutofanya Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu Wa Chama......Wapeswa Siku 7 za Kujieleza

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania ameandika barua kwenda kwa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema akikitaka kutoa maelezo kwa nini kisichukuliwe hatua kwa kutokufanya uchaguzi wa viongozi wake. Barua ya Msajili iliyoandikwa Oktoba 1, 2019 na kusainiwa na Sisty Nyahonza kwa niaba ya...
Share:

Naibu Waziri Ikupa: Wenye Ulemavu Wajumuishwe Katika Masuala Ya Ukimwi

NA.MWANDISHI WETU Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masula ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa ameuasa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza kushirikisha kundi la wenye ulemavu katika masuala ya UKIMWI ili kuhakikisha jamii nzima inapata elimu na huduma ya masuala hayo. Ametoa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger