Thursday, 1 August 2019

Rais Magufuli atoa Maagizo kwa Waziri wa Viwanda na Biashara

Rais  Magufuli amemtaka Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa kusimamia wawekezaji wasisumbuliwe katika uwekezaji wa viwanda. Rais Magufuli pia amewaomba Watendaji ndani ya Serikali kutowasumbua wafanyabiashara wanaotaka kuwekeza nchini. Ametoa tamko hilo leo Alhamisi Agosti 1,...
Share:

Baba Levo Ahukumiwa Kifungo cha Miezi Mitano Jela

Msanii wa Bongo Fleva na Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini, Manispaa ya Kigoma Ujiji, Revokatus Kipando maarufu kwa jina la Baba Levo amehukumiwa kifungo cha miezi mitano kwa kosa la kumshambulia Askari wa Usalama Barabarani Mkoani Kigoma. Inadaiwa kuwa  Baba Levo alimshambulia askari anayefahamika...
Share:

Mo Dewji Ammwagia Sifa Rais Magufuli

Mkurugenzi wa Kampuni za Mohamed Enterprises Limited, Mohamed Dewji amempongeza Rais Magufuli kwa mageuzi makubwa kwa kipindi kifupi  cha uongozi wake. Dewji ameyasema hayo leo akifungua kiwanda cha kusaga unga wa mahindi na ngano cha 21st Century Food Packaging kinachomilikiwa na Kampuni za...
Share:

Rais Magufuli amtaka Mo Dewji kujali maslahi ya wafanyakazi wake kama Anavyoijali Simba

Rais Magufuli amemtaka Mfanyabishara Mohamed Dewji (Mo Dewji), kuhakikisha anajali maslahi ya wafanyakazi wake kama anavyofanya katika Timu ya mpira wa miguu ya Simba Sports Club ambapo amemsihi kwamba wafanyakazi hao nao wanastahili kupata maslahi yao. Ametoa ombi hilo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa...
Share:

UDSM Entrepreneurship training for higher education graduates 2019

UDSM Entrepreneurship training for higher education graduates 2019-ujasiriamali, jifunze ujasiriamali, kanuni za ujasiriamali, jifunze ujasiriamali pdf, vitabu vya ujasiriamali pdf, changamoto za ujasiriamali, maana ya ujasiriamali ni nini, ujasiriamali in english, ujasiriamali maana yake nini, UDSM Entrepreneurship training for higher education graduates 2019. The Chancellor of the University of...
Share:

Internship Opportunities TBS-Tanzania Bureau of Standards (TBS)

Internship Opportunities TBS-Tanzania Bureau of Standards (TBS), tbs tanzania forms, tbs tanzania pvoc, tbs form, tanzania bureau of standards act, roles of tbs in procurement, about tbs, tbs address, tbs certification, Internship Opportunities, Nafasi za kazi tbs, nafasi za internship tbs tanzania 2019. Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by...
Share:

KARIBU INVO ENTERPRISES KWA USAFI WA OFISINI NA NYUMBANI

...
Share:

BABA AMKATA KOO MTOTO WAKE

Saidu Dan Iya raia wa Nigeria amemkata koo mwanaye wa kike aitwaye Zahra Saidu mwenye umri wa miaka 8. Baba huyo ambaye anadaiwa kuwa na matatizo ya kisaikolojia baada ya kutumia madawa ya kulevya kwa muda mrefu, ambapo inadaiwa alimkaba mwanaye shingoni kisha kumkata koo kwa kutumia kisu. Mama...
Share:

WAKONGWE WA YANGA SC NA PAMBA SC KUKUTANA KILELE WIKI YA MWANANCHI

Kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi mambo yanazidi kunoga huku Uongozi ya Klabu ya Yanga ukiendelea kuongeza ubunifu wenye lengo la kusherehesha siku hiyo ambayo itafanyika Siku ya Agosti 4 katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Licha ya klabu hiyo ya Mitaa ya Jangwani kuendelea na wiki...
Share:

TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI

Manchester United bado hawajaamua kuhusu suala la kuhama kwa Paulo Dybala, huku mshambuliaji huyo wa Argentina , 25, akitarajia kujadili na Juventus juu ya hali yake ya baadae wiki hii . (Manchester Evening News) Dybala ameiambia klabu ya United kuwa itatakiwa kumpa mkataba wenye thamani ya pauni...
Share:

AUAWA KWA KUPIGWA RISASI BAADA YA KUUA BABA YAKE NA KUJERUHI WATU SABA KWA PANGA TARIME

Na Asha Shaban - Mara. Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Wambura Kisiri amemuua baba yake kwa kumkata kata kwa mapanga sehemu mblimbali za mwiliwake na kuwajeruhi watu wengine saba kwa panga katika sehemu mbalimbali za miili yao huko katika kijiji cha Kimusi kata ya Nyamwaga wilayani Tarime mkoani...
Share:

HATIMA YA DHAMANA YA MWANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI ERICK KABENDERA KUJULIKANA AGOST 5

Mahakama ya Kisutu imekataa na imeutaka upande wa Serikali kuwasilisha kiapo kinzani  kabla ya August 5, 2019 kujibu hoja kuhusu kukamatwa kwa Mwanahabari Erick Kabendera.  Wakili wake  Shilinde Swedy amewasilisha maombi ya kutaka Kabendera afikishwe Mahakamani kwasababu anashikiliwa ...
Share:

LIVE: Rais Magufuli Akizindua Jengo La Tatu La Abiria Katika Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere

Leo Agosti 01,2019 Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anazindua rasmi Jengo la tatu la Abiria (Terminal III )katika Kiwanja cha ndege cha kimataifa  cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Tazama hapo chini...
Share:

RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKURUGENZI WA HALMASHAURI

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Morogoro Vijijini, Kayombe Rioba kwa utendaji usioridhisha wa miradi ya maendeleo hususani ujenzi wa Hospitali ya Wilaya. Uamuzi wa kuondolewa kwa kiongozi huyo umetangazwa na Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...
Share:

CCM yashinda katika Uchaguzi wa Naibu Meya na Kaimu mwenyekiti wa Halmashauri mkoani Shinyanga

NA SALVATORY NTANDU Diwani wa kata ya Igunda Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa Makamo mwenyekiti wa Halmashauri hiyo katika Uchaguzi wa ndani wa  cha Chama cha Mapunduzi (CCM) kilichofanyika jana. Uchaguzi huo umefanyika jana katika ofisi...
Share:

TOUFIQ: Tanzania Kinara Katika Udahili Wa Wanafunzi Elimu Ya Awali Barani Afrika.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. IMEELEZWA kuwa Tanzania ni kinara katika suala la udahili wa wanafunzi katika elimu ya awali barani Afrika na hivyo kuifanya kupiga kubwa katika utekelezaji wa maelengo ya maendeleo endelevu(SDGs).   Mafanikio hayo yanatokana na serikali kutoa elimu bure...
Share:

Rais Magufuli Kuzindua Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere terminal 3 Leo

Rais John Magufuli leo Alhamisi Agosti Mosi, 2019, anatarajia kuzindua mradi wa upanuzi wa Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere la terminal 3, ambao umetekelezwa kwa miaka6 kwa gharama ya Sh788.6 bilioni. Mradi huo ulianza kujengwa 2013 na awali ulipangwa kutekelezwa kwa Sh705.3 bilioni lakini kutokana...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger