Friday, 1 March 2019

MKUU WA MKOA ATUA KIJIJI CHA KABALE KUKAMILISHA MAANDALIZI YA MAZISHI YA RUGE

Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amefika nyumbani kijijini kabale, Bukoba katika msiba wa Ruge Mutahaba ili kuungana na kamati ya maandalizi kwa ajili ya kukamilisha mipango ya mazishi. Mwili wa Ruge tayari umeshawasili nchini ukitokea Afrika Kusini na Utazikwa Jumatatu March 4,...
Share:

STAND UNITED WATAMBA KUTEMBEZA KICHAPO KWA SIMBA SC... 'SIMBA LAZIMA BHAKINDWE'

Mwenyekiti wa Stand United, Dkt. Ellyson Maeja Klabu ya Stand United 'Chama la Wana' imetamba kutembeza kipigo kwa Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Simba SC katika mchezo utakaopigwa Jumapili Machi 3,2019 katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga. Akizungumza na Waandishi wa...
Share:

Picha : MWILI WA RUGE MUTAHABA WAWASILI DAR

Mwili wa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ndugu Ruge Mutahaba umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu. Aliyeongoza mapokezi ya Mwili wa Ruge Mutahaba ni Waziri January Makamba akiwa na Mkuu wa Mkoa...
Share:

ZITTO KABWE ASIKITIKA MAJAJI KUTOWAPATIA DHAMANA MBOWE NA MATIKO

Kiongozi wa Chama Cha ACT - Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zuberi Kabwe amesikitishwa na majaji kutotumia mamlaka yao katika kuwapatia dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko. Zitto Kabwe ametoa maoni yake hayo muda mfupi baada ya Mahakama...
Share:

MAREKANI YATANGAZA KUTOA MABILIONI YA FEDHA KUMSAKA MTOTO WA OSAMA BIN LADEN

Marekani imetangaza zawadi ya $1 milioni (sawa na 2,345,300,000 za Tanzania) kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa mtoto wa kiume wa kiongozi wa Al-Qaeda, Osama Bin Laden. Taarifa rasmi ya Serikali ya Marekani imeeleza kuwa Hamza Bin Laden amekabidhiwa jukumu la kuwa kiongozi...
Share:

IGP SIRRO APANGUA PANGUA MAKAMANDA WA POLISI...RPC SHINYANGA ASUKUMWA MAKAO MAKUU

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro amefanya mabadiliko ya kiuongozi kwa maofisa wa jeshi hilo baada ya Rais John Magufuli kufanya uteuzi wa makamishna wapya. Akizungumza na vyombo vya habari leo Machi Mosi, IGP Sirro amewataja makamishna walioteuliwa na Rais Magufuli kuwa ni Charles...
Share:

WANAWAKE WASEMA MAFANIKIO CHANYA YANAHITAJI USHIRIKISHWAJI WA WANAWAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsi (TGNP) Lilian Liundi  Wanawake kutoka taasisi mbalimbali wamesema kuwa mafanikio ya kiuchumi, kifikra, kielimu na afya yanahitaji ushirikishwaji wa mwanamke ili yawe chanya. Wakizungumza leo Ijumaa Machi mosi kwenye mkutano wa siku moja wa kujadili mafanikio...
Share:

UTAFITI WA MUHAS WAONYESHA CHANJO DHIDI YA VVU NI SALAMA

Profesa wa Mikrobiolojia na Immunolojia MUHAS, Eligius Lyamuya akiwasilisha matokeo ya utafiti wa Chanjo dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) iliyofanyiwa majaribio katika maeneo mbali mbali ya nchini Tanzania na Msumbiji wakati wa kongamano la Kisanyansi la Kitafiti lililofanyika jijini Dar es Salaam....
Share:

JAMAA AJIUA KWA KUGONGWA BASI BAADA YA KUGOMBANA NA MPENZI WAKE

Jamaa mmoja mwenye umri wa makamo ameripotiwa kufariki dunia baada ya kugongwa na basi lililokuwa likiendeshwa kwa kasi kutoka mjini Kisumu kuelekea Nairobi nchini Kenya.  Tukio hilo limetokea Alhamisi Februari 28,2019 eneo la Kachok katika barabara kuu ya Kisumu kuelekea Nairobi.  Inasemekana...
Share:

MKUBWA FELLA AWAJIA JUU WANAOMTUKANA MAREHEMU RUGE

Mtendaji Mkuu wa Mkubwa na Wanawe Youth Organization Mkubwa Fella ameamua kufunguka kuhusiana na ukaribu aliokuwa nao na Marehemu Ruge Mutahaba pamoja na taarifa za msiba kumuumiza kutokana na wawili kujuana tokea mwaka 1995 na kusaidiana vitu vingi. Fella ameongeza na kusema kuwa watu kwenye mitandao...
Share:

MCHUNGAJI ALIYEFUFUA MTU ATAKIWA KUMFUFUA MANDELA

Baada ya sakata lake la kumfufua mtu kutinga kwenye vyombo vya habari na kuzua gumzo katika bara zima la Afrika, Mchungaji Alph Lukau sasa ametakiwa na mchungaji mwenzake kumfufua Rais wa kwanza wa nchi hiyo, Nelson Mandela. Mchungaji huyo wa kanisa la Alleluia Ministry la Afrika Kusini, ametakiwa...
Share:

DUDU BAYA AACHIWA KWA DHAMANA POLISI

 Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limemuachia kwa dhamana msanii wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu Baya, baada ya kumshilikia kwa saa kadhaa. Dudu Baya alikamatwa juzi Jumatano, Februari 27 usiku nyumbani kwake Mbezi na kufikishwa katika kituo cha Polisi Oystebay...
Share:

RAIS MAGUFULI ATOA NDEGE KUSAFIRISHA WANAOTAKA KWENDA KUMZIKA RUGE

Rais John Magufuli ametoa ndege ya Serikali kwa ajili ya kuusafirisha mwili wa marehemu Ruge Mutahaba utakaopelekwa Bukoba kwa ajili ya kuzika. Msemaji wa Familia ya Mutahaba, Raymond Kashasha amesema hayo leo Ijumaa, Machi 1,2019 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Ruge anatarajiwa...
Share:

BASATA YASITISHA USAJILI WA MSANII DUDUBAYA

Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) limesitisha usajili wa Msanii Godfrey Tumaini(Dudubaya),kuanzia jana Alhamisi, 28 Feb 2019 .  Hatua hiyo imechukuliwa baada ya msanii huyo kukamatwa na jeshi la polisi, kutokana na kutoa kauli zisizofaa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Ruge Mutahaba...
Share:

FREEMAN MBOWE NA ESTHER MATIKO WASHINDA RUFAA YA DHAMANA YAO DHIDI DPP

Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali pingamizi la Serikali kupinga Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko kusikilizwa shauri lao la kuomba kupewa dhamana katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam. Hivyo kesi ya Mh. Mbowe na Matiko inarudi Mahakama kuu kwa ajili...
Share:

MBUNGE WA CHADEMA ALAZWA KCMC

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (CHADEMA) amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi, ambapo alifikishwa Februari 27 mwaka huu. Mbunge huyo anasumbuliwa na shinikizo la damu. Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro Basili Lema amethibitisha kulazwa kwa Mbunge huyo...
Share:

KESI YA HOUSE BOY KUDAIWA KUMUUA HOUSE GIRL YAUNGURUMA

Shahidi wa pili katika kesi ya mauaji ya mfanyakazi wa ndani wa kike wa Jaji mstaafu, Engela Kileo anayedaiwa kuuawa na mfanyakazi mwenzake wa ndani wa kiume, ameileza Mahakama kilichowasukuma kufanya upekuzi chumbani kwa mshtakiwa na kukuta mabegi ya nguo za marehemu na simu. Katika kesi hiyo ya...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger