Thursday, 5 October 2017

*HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOCHGULIWA VYUO VIKUU DIGRII 2017/18*

*MPYA*

*HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOCHGULIWA VYUO VIKUU DIGRII 2017/18*

1. *KUONA MAJINA MAPYA CHUO KIKUU IFM,BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/new-list-of-students-selected-in-to.html

2. *KWA MAJINA CHUO CHA TENGERU,BONYEZA HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/tengeru-institute-of-community-dev-ticd.html

3. *KUONA MAJINA CHUO CHA TAKWIMU,BONYEZA HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/eastern-africa-statistical-training.html

4. *KUONA MAJINA CHUO KIKUU MUHIMBILI BONYEZA HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml

5. *KUONA MAJINA CHUO KIKUU CHHA MIPANGO DODOMA,BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/the-institute-of-rural-development.html

6. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MOUNT MERU,BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/mount-meru-university-list-of-approved.html

7. *TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TCU,KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/tcutaarifa-kwa-umma-kuhusu-udahili.html

8.KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA HURBERT KAIRUKI,BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/hkmu-list-of-selected-students-to-join.html


9. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA BUGANDO DIGRII,BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/stella-maris-mtwara-stemmuco-selected.html

10. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA SAUT-MTWARA-BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/stella-maris-mtwara-stemmuco-selected.html

11. *SAUT MBEYA:List of selected students for Degree Programmes in academic year 2017/18,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/saut-mbeya-list-of-selected-students.html\

12. *SUA:First Batch of Students Selected to Join Undergraduate Degree Programmes for Academic Year 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/sua-first-batch-of-students-selected-to.html

13. *The institute of Finance Management IFM:Names of Selected Bachelor Degree Selected Applicants 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/the-institute-of-finance-management-ifm.html

14. *BUGANDO-CUHAS:List of applicants who have been successfully been selected to join various Degree programmes 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/bugando-cuhas-list-of-applicants-who.html

15. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF MUSLIM-MOROGORO BACHELOR DEGREE 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join_13.html

16. *JORDAN UNIVERSITY:NACTE SELECTED STUDENTS OCTOBER 2017-CERTIFICATES COURSES,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/jordan-university-nacte-selected.html

17. *LIST OF THE STUDENTS SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF WATER INSTITUTE 2017/18,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join_4.html

18. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN DEGREE MAKUMIRA 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join.html

19. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN ARDHI UNIVERSITY 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join-ardhi.html

20. *MOCU:Applicants Selected to Join Various Degree Programmes for the Academic YeAR 2017/18>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/mocuapplicants-selected-to-join-various.html

21. *RUAHA UNIVERSITY:LIST OF SELECTED APPLICANTS TO JOIN VARIOUS DEGREE 2017/18*  http://www.selectionblog.ml/2017/10/ruaha-universitylist-of-selected.html

22. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA UDSM,MUCE NA DUCE BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/university-of-dar-es-salaam-udsm.html

23. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA ATC,BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/arusha-tech-collegeatc-list-of-selected.html

24. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MWENGE UNIVERSITY,BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/mwenge-university-list-of-selected.html

25. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NIT,BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/mwenge-university-list-of-selected.html

26. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MWALIMU NYERERE,BONYEZA HAPO>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/the-mwalimu-nyerere-memorial-academy.html

27. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA JORDAN UNIVERSITY-MOROGORO,BONYEZA HAPO>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/saut-morogoro-list-of-selected-students.html

28. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA SAUT-MWANZA,BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/saut-mwanza-first-batchselected.html

29. *HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MZUMBE>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-slected-to-join-mzumbe.html

30. *KWA CHUO CHA TAX,BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/selected-applicants-to-join-bachelor.html

*_TAFADHALI SAMBAZA TAARIFA HIZI_*
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ARUSHA 2017/2018

Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA SAUT-MWANZA 2017/2018


MPORTANT NOTE TO ALL SELECTED APPLICANTS
All selected applicants are required to read, understand and abide by these instructions .
Share:

*HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOCHGULIWA VYUO VIKUU DIGRII 2017/18*

*BREAKING NEWS*

*HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOCHGULIWA VYUO VIKUU DIGRII 2017/18*


1. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA BUGANDO DIGRII,BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/stella-maris-mtwara-stemmuco-selected.html

2. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA SAUT-MTWARA-BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/stella-maris-mtwara-stemmuco-selected.html

3. *SAUT MBEYA:List of selected students for Degree Programmes in academic year 2017/18,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/saut-mbeya-list-of-selected-students.html\

4. *SUA:First Batch of Students Selected to Join Undergraduate Degree Programmes for Academic Year 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/sua-first-batch-of-students-selected-to.html

5. *The institute of Finance Management IFM:Names of Selected Bachelor Degree Selected Applicants 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/the-institute-of-finance-management-ifm.html

6. *BUGANDO-CUHAS:List of applicants who have been successfully been selected to join various Degree programmes 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/bugando-cuhas-list-of-applicants-who.html

7. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF MUSLIM-MOROGORO BACHELOR DEGREE 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join_13.html

8. *JORDAN UNIVERSITY:NACTE SELECTED STUDENTS OCTOBER 2017-CERTIFICATES COURSES,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/jordan-university-nacte-selected.html

9. *LIST OF THE STUDENTS SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF WATER INSTITUTE 2017/18,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join_4.html

10. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN DEGREE MAKUMIRA 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join.html

11. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN ARDHI UNIVERSITY 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join-ardhi.html

12. *MOCU:Applicants Selected to Join Various Degree Programmes for the Academic YeAR 2017/18>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/mocuapplicants-selected-to-join-various.html

13. *RUAHA UNIVERSITY:LIST OF SELECTED APPLICANTS TO JOIN VARIOUS DEGREE 2017/18*  http://www.selectionblog.ml/2017/10/ruaha-universitylist-of-selected.html

14. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA UDSM,MUCE NA DUCE BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/university-of-dar-es-salaam-udsm.html

15. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA ATC,BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/arusha-tech-collegeatc-list-of-selected.html

16. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MWENGE UNIVERSITY,BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/mwenge-university-list-of-selected.html

17. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NIT,BONYEZA HAPO>>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/mwenge-university-list-of-selected.html

18. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MWALIMU NYERERE,BONYEZA HAPO>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/the-mwalimu-nyerere-memorial-academy.html

19. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA JORDAN UNIVERSITY-MOROGORO,BONYEZA HAPO>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/saut-morogoro-list-of-selected-students.html


*_TAFADHALI SAMBAZA TAARIFA HIZI_*
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU UDSM 2017/2018

University of Dar es Salaam | UDSM UNDERGRADUATE DEGREE SELECTION STATUS FOR THOSE APPLIED AT UDSM DURING FIRST ROUND 2017/18



THOSE APPLIED AT UDSM DURING FIRST ROUND :
This is for applicants who applied During the first round
Your are advised to log in to your UDSM admission account by using your account credentials
1. View the Masage  for instructions
2. View the selection results
3. selected applicants at UDSM  with multiple admissions ( Also selected from other institututions)  are required to confirm that they will come for studies at the UDSM only

To view 2017 / 2018 Selected Applicants / Candidates for other Public and  Private Universities in Tanzania click here
WARNING: Confirmation to more than one institution will lead to concelation of your Admissions by TCU

3. For those who applied only at UDSM and selected ,you can then  just view your results status
4. Not selected Applicants are given a chance to re-apply by selecting again programmes and they will be considered for the second round.

Share:

Wednesday, 4 October 2017

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO MBALIMBALI DIGRII 2017/18

*BREAKING NEWS*

*HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOCHGULIWA VYUO VIKUU DIGRII 2017/18*


1. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA BUGANDO DIGRII,BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/stella-maris-mtwara-stemmuco-selected.html

2. *KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA SAUT-MTWARA-BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/stella-maris-mtwara-stemmuco-selected.html

3. *SAUT MBEYA:List of selected students for Degree Programmes in academic year 2017/18,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/saut-mbeya-list-of-selected-students.html\

4. *SUA:First Batch of Students Selected to Join Undergraduate Degree Programmes for Academic Year 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/sua-first-batch-of-students-selected-to.html

5. *The institute of Finance Management IFM:Names of Selected Bachelor Degree Selected Applicants 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/the-institute-of-finance-management-ifm.html

6. *BUGANDO-CUHAS:List of applicants who have been successfully been selected to join various Degree programmes 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/bugando-cuhas-list-of-applicants-who.html

7. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF MUSLIM-MOROGORO BACHELOR DEGREE 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join_13.html

8. *JORDAN UNIVERSITY:NACTE SELECTED STUDENTS OCTOBER 2017-CERTIFICATES COURSES,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/jordan-university-nacte-selected.html

9. *LIST OF THE STUDENTS SELECTED TO JOIN THE UNIVERSITY OF WATER INSTITUTE 2017/18,SOMA ZAIDI HAPO>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join_4.html

10. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN DEGREE MAKUMIRA 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join.html

11. *LIST OF STUDENTS SELECTED TO JOIN ARDHI UNIVERSITY 2017/2018,SOMA ZAIDI HAPO>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/list-of-students-selected-to-join-ardhi.html

12. *MOCU:Applicants Selected to Join Various Degree Programmes for the Academic YeAR 2017/18>>>>>* http://www.selectionblog.ml/2017/10/mocuapplicants-selected-to-join-various.html

13. *RUAHA UNIVERSITY:LIST OF SELECTED APPLICANTS TO JOIN VARIOUS DEGREE 2017/18*  http://www.selectionblog.ml/2017/10/ruaha-universitylist-of-selected.html

*_TAFADHALI SAMBAZA TAARIFA HIZI_*
Share:

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI ALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU RUAHA UNIVERSITY-RUCU 2017/2018 KWA KOZI ZA DIGRII


LIST OF SELECTED APPLICANTS TO JOIN VARIOUS DEGREE PROGRAMMES (2017/2018)
The list of selected Applicants to join various Degree programmes at Ruaha Catholic University ONLY. Click the link to view the particular list




KUYAONA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO>>>>>>>HAYA HAPA MAJINA---PDF
Share:

Monday, 2 October 2017

VIDEO | Snura Ft. Christian Bella - Zungusha | Watch/Download

Share:

Friday, 29 September 2017

Thursday, 28 September 2017

BUSEGA YAPATA NEEMA ,SASA KESI ZOTE KUSIKILIZWA BUSEGA BADALA YA BARIADI MJINI

 
Share:

Tuesday, 26 September 2017

Sunday, 24 September 2017

Rais ‘amwaga’ ajira mpya 3,000 JWTZ, kuhamia Dodoma



RAIS John Magufuli amesisitiza azma yake ya kujenga Tanzania mpya, kwa kutangaza ajira 3,000 katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme kipande cha Morogoro hadi Dodoma na yeye kuhamia Dodoma mwakani.
Alisema hayo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha jana, baada ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wapya 422 wa jeshi wa cheo cha Luteni Usu wa Kundi la 61/16. Miongoni mwa maafisa haowapya, 32 ni wanawake na wanaume ni 390. Wanafunzi waliotunukiwa vyeo hivyo, wanatoka Shule ya Anga, Shule ya Ubaharia na Chuo cha Kijeshi cha Monduli. Baada ya kutunukiwa vyeo vipya, maafisa hao wapya walivaa vyeo hivyo, kisha kutoa salamu huku wananchi, ndugu, jamaa na marafiki wakishangilia kwa nguvu.
Pia, walikula kiapo cha utii mbele ya Rais Magufuli na baada ya hapo ofisa mpya, Sikujua Peter alivalishwa bawa kwa niaba ya marubani wenzake. Awali, Rais Magufuli alitoa zawadi kwa mwanafunzi aliyefanya vizuri Shule ya Kijeshi ya Kibaharia, Jacob Soka, waliofanya vizuri darasani ni Ally Kitawala na Hamza Msuya, huku Benjamin Fanuel alipata zawadi kutokana na kufanya vyema katika masuala ya urukaji katika anga. Waliofanya vizuri zaidi katika Shule ya Kijeshi ya Monduli ni Hamis Mwantega, aliyefanya vizuri darasani ni Haji Kimaro.
Wanafunzi hao waliotunukiwa vyeo hivyo vipya, walipita mbele ya Rais kwa gwaride la mwendo wa pole na kasi, huku wakishangiliwa na watu mbalimbali waliofika uwanjani hapo kushuhudia kutunukiwa kwa kamisheni zao. Ajira mpya jeshini Rais alieleza kuwa amefurahi kutoa kamisheni kwa maafisa hao wapya 422, lakini pia jeshi ni lazima liwe pia na wanajeshi wa kawaida.
“Kwa kutambua hilo natangaza rasmi nafasi 3,000 za kuajiri wanajeshi wapya. Na hao watakaoajiriwa wawe wamemaliza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Lengo ni tuwe na maaskari wa kutosha na jeshi la kisasa zaidi,” alisema Rais Magufuli, ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu. Alipongeza JWTZ, Polisi, Zimamoto, Uhamiaji, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, kwa kazi nzuri ya kulinda amani ya nchi. Alitaka wananchi kuendelea kuunga mkono vyombo hivyo.
Kuhusu suala la ajira, Rais alisema katika mwaka huu wa fedha, serikali inatarajia kuajiri jumla ya watumishi 50,000 wa sekta mbalimbali, ikiwemo wanajeshi, madaktari na walimu. Kuhamia Dodoma Rais alisema uamuzi wa kuhamia Dodoma kutoka Dar es Salaam, ulitolewa na Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1973, lakini kwamba tangu wakati huo utekelezaji wake ulikuwa mgumu. Lakini, alisema serikali yake imedhamiria kuhamia Dodoma na kwamba hadi sasa watumishi 3,000 wamehamia Dodoma akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Alitangaza kuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan atahamia baadaye mwaka huu na yeye mwaka kesho. “Mwaka huu atahamia Makamu wa Rais na mwaka kesho nahamia mimi. Yule ambaye hatahamia huko na kukaa Dar kazi hana,” alisema Mkuu huyo wa Nchi. Ndege, reli ya umeme Rais alisema hatua mbalimbali ambazo Serikali ya Awamu ya Tano, imechukua kudhibiti matumizi ya serikali, zimeiwezesha kupata fedha za kutosha, hivyo kuiwezesha kujenga miradi mikubwa mbalimbali, mfano kununua ndege za kisasa sita, zitakazoboresha usafiri wa abiria wa kawaida na watalii.
Mradi mwingine ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme (standard gauge). “Tumeanza kujenga reli ya kisasa kilometa 300 kutoka Dar hadi Morogoro. Na wiki ijayo tunatarajia mkataba mwingine mpya utasainiwa kwa ajili ya ujenzi wa kipande cha reli kutoka Morogoro kwenda Dodoma,” alitangaza. Madeni ya wanajeshi Rais Magufuli alisema juzi alikutana na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo na makamanda wa juu jeshini, kujadili madeni na maslahi mbalimbali ya wanajeshi, ambapo walikubaliana wataanza kulipa madeni hayo kuanzia wiki ijayo.
Umeme Bonde la Rufiji Magufuli alisema serikali yake itatimiza ndoto ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ya mwaka 1975, ambapo alitaka kujenga bwawa la kufua umeme la Stiegler’s Gorge katika Bonde la Mto Rufiji mkoani Pwani, kwa lengo la kuondoa kero ya umeme nchini. Alisema mradi huo wa Stiegler, utazalisha megawati 2,100 za umeme na kumaliza tatizo la umeme nchini. Alisema umeme unaozalishwa nchini kwa sasa ni megawati 1,460 tu ambazo hazitoshi, hasa wakati huu serikali inajenga uchumi wa viwanda na kukaribisha wawekezaji mbalimbali.
“Tumetangaza tenda ya kujenga Stieglers na tayari makampuni 50 ya kimataifa yameomba tenda hiyo,” alisema Rais na kuongeza kuwa fedha za kutekeleza mradi huo mkubwa zipo. Uchumi wapaa Rais alisema uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi na Tanzania ni moja ya nchi tatu barani Afrika, zinazoongoza kwa uchumi kukua, ya kwanza ikiwa ni Ethiopia.
Uchumi wa Ethiopia unakua kwa asilimia 8, wakati wa Tanzania unakua kwa asilimia 7.1 na mwakani utakua kwa asilimia 7.2 sawa na wa India. Urais mateso Magufuli alisema urais ni msalaba, kazi ngumu mno na ya kujitoa msalaba. Alisema yeye amejitoa sadaka ili kunyoosha nchi na mafisadi. “Urais ni mateso. Ni shida kubwa kuwa Rais. Nayaona mateso.
Niliomba urais kwa kujaribu, nikasukumiziwa huko, hata hivyo nimejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yangu na Watanzania,” alisema. Alisisitiza, “Niliingia bila kutoa rushwa. Hakuna aliyenichangia wakati nagombea urais, hivyo nitaendelea kunyoosha nchi. Hili la kutumbua, watu watatumbuka kweli kweli, nataka mafisadi watubu, nataka Tanzania mpya.” Mialiko safari za nje Rais alisema amepata jumla ya mialiko 60 ya kwenda nje ya nchi, lakini hakwenda, kwa sababu bado anasafisha nchi. “Nimeacha mialiko 60. Wengi tu wanaomba uje.
Nije kufanya nini? Nasafisha kwanza nyumba yangu. Niliomba urais si wa kutembelea nchi nyingi. Kwanza mimi nilishatembelea nchi nyingi kabla sijawa rais. Huu sasa ni wakati wangu wa kuchapa kazi,” alisema Rais. Viongozi walioshuhudia wanajeshi hao wapya wakitunukiwa vyeo ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Hussein Mwinyi, Mbunge wa Ngorongoro William ole Nasha, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, wakuu wa wilaya za Arusha, wakurugenzi wa wilaya.
Share:

MATUKIO KATIKA PICHA:MKUU WA WILAYA YA BUSEGA, DC TANO S. MWERA AZINDUA ALBUM AICT MKULA

Mkuu wa wilaya Busega akiwa amesimama katika picha,akiongea jambo wakati wa uzinduzi wa album AICT Mkula.
Share:

Sunday, 17 September 2017

NACTE:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU NA AFYA CHETI NA DIPLOMA 2017/2018


Uhakiki wa Udahili wa Wanafunzi wanaotarajia kujiunga kwenye vyuo vya Serikali, Afya na Ualimu Umekamilika, Unaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi huu kupitia kwenye kurasa binafsi kwa kubofya hapa, Mfumo utafunguliwa tena hivi karibuni kuruhusu awamu ya pili kwa waombaji wapya na wale wenye sifa lakini hawakuchaguliwa. Asante.
Share:

Saturday, 16 September 2017

UNDERGRADUATE STUDENTS SELECTED AT UDOM 2017/2018

Logo
Share:

Wednesday, 23 August 2017

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017 Awamu ya Pili


 
Share:

Sunday, 6 August 2017

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI 06, 2017

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger