Habari yako?
Kwanza kabisa naepnda kumshukuru Mungu kwa kuzidi kunipa nguvu na akili ya kuzidi kuwatumia kwa kuwapa vitu muhimu hasa kipindi hiki cha uombaji wa vyuo vikuu 2017.
Watu wengi wamekuwa wakiuliza na kujiuliza je mwaka huu tunaombaje vyuo?
Maswayetu blog itaongelea jinsi ya kutuma maombi.
Kwa muda mrefu wanafunzi wengi wamekua wakiomba vyuo kupitia TCU au NACTE.Lakini mwa ka huu hali...
Wednesday, 19 July 2017
Tuesday, 18 July 2017
USHAURI KWA FORM SIX WALIOKOSA SIFA ZA KWENDA CHUO KIKUU KUHUSU NINI CHA KUFANYA
USHAURI
NINI CHA KUFANYA KWA FORM SIX AMBAO HAWAJAPATA VIGEZO VYA KWENDA CHUO KIKUU
2017/2018
Habari yako?
Kama tulivyokuahidi kuhusu kutoa ushauri na mwongozo kwa
wanafunzi wa kidato cha sita ambao hawakufikisa vigezo vya kwenda chuo kikuu
mwaka huu 2017.
Ili uende chuo kikuu lazima uwe na minimum points of 4(D D) AU 4(C E) katika masomo yako mawili uliyosom...
Sunday, 16 July 2017
USHAURI KWA KIDATO CHA SITA KULINGANA NA MATOKEO WALIYOYAPATA KUHUSU KOZI NZURI YA KUSOMEA CHUONI 2017/2018
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
USHAURI
KWA KIDATO CHA SITA KULINGANA NA MATOKEO WALIYOYAPATA KUHUSU KOZI NZURI YA
KUSOMEA CHUONI 2017/2018
Habari yako?
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu wangu Muumba...
Saturday, 15 July 2017
TUMIA LINK HII KUANGALIA MATOKEO YA ACSEE FORM SIX NECTA RESULTS 2017
Kumekua na usumbufu wa kuangalia matokeo kidato cha sita 2017
MASWAYETU BLOG tunahakikisha wewe mdau wetu namba moja haukosi issue hii ya muhimu kwa TAIFA, tumekuwekea hapo chini njia nyepesi ya kuangalia matokeo yako.
FANYA HIVI,
Tumia link niliyoiweka hapo chini,then sehem yenye exam number ya shule weka ya shule yako,mfano:hapo chini utabadilisha s0227 na utaweka exam number ya shule yako.
TUMIA...
ACSEE NECTA RESULTS 2017,ARUSHA GIRLS SEC SCHOOL
Namba
Namba ya Mtahiniwa
Jinsi
Daraja
Pointi
Matokeo
1
S5260/0501
F
III
16
G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-D
2
...
ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017 ACSEE RESULTS
Tumeamua kuweka matokeo ya kila shule kkt website
KUANGALIA SHULE YAKO
>>>>BONYEZA HA...
Wednesday, 12 July 2017
ORODHA YA MAJINA AJIRA MPYA ZA WALIMU MASOMO YA SAYANSI SHAHADA NA STASHAHADA AWAMU YA PILI 2017
Ajira Mpya za Walimu wa Sayansi ,Hisabati na Mafundi Sanifu
TAARIFA KWA UMMA
ORODHA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA ZA SEKONDARI WALIOPANGIWA VITUO 2017
ORODHA YA WALIMU WA SAYANSI NA HISABATI WALIOPANGIWA VITUO AWAMU YA PILI 2017
Walimu na mafundi sanifu watakao pokea posho ya kujikimu na baadae
kutoripoti na kuanza kazi katika vituo...