MINISTRY OF LIVESTOCK AND FISHERIES DEVELOPMENT
FISHERIES
EDUCATION AND TRAINING AGENCY
&nbs...
Sunday, 18 June 2017
Saturday, 17 June 2017
USHAURI KWA FORM SIX WALIOMALIZA 2017,WALIOSOMA MICHEPUO/COMBINATION ZA CBG,PCB,HKL,PCM,PGM,HGE,HGK,HGL,ECA,CBN KUHUSU KOZI NZURI ZA KUSOMEA CHUO KIKUU 2017/2018
Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua ktk level ya degree
Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level na kwa diploma holder
Marketable course in terms of Employment opportunities
Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania
Changamoto husika ya kozi kwa vyuo mbalimbali Tanzania
Competition...
Friday, 16 June 2017
Thursday, 15 June 2017
MPYA:HIZI HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZA FORM FIVE 2017/2018
KWA JOINING INSTRUCTION SHULE YA TANGA TECH
>>>>BONYEZA HAPA<<<
Miono
Kibaha
Kilangalanga-
Bagamo...
TAARIFA KWA FORM FIVE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA SHULE MBALIMBALI 2017/2018 NA UMMA KWA UJUMLA

JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA
SERIKALI ZA MITAA
TAARIFA KWA UMMA
TAARIFA KWA
VYOMBO VYA HABARI KUHUSU
UCHAGUZI
NA UPANGAJI WA WANAFUNZI WA
KUJIUNGA
NA KIDATO CHA TANO NA VYUO
VYA
UFUNDI...
Wednesday, 14 June 2017
BREAKING NEWS: TAARIFA KWA UMMA JKT IMEONGEZA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MEI 2017 KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAFUNZO YA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017

TAARIFA KWA UMMA
Jeshi
la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza
majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi Mei 2017
kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
Vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe...
Friday, 9 June 2017
BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2017

Kama utahitaji kuangaliziwa jina lako kwa "usahihi" na "kasi ya ajabu" (ambapo utajibiwa ndani ya dk 1 tu) kama umechaguliwa form v, tafadhali fanya yafuatayo;
1.TUMA EXAM NAMBA YAKO YA FORM 4 NA MWAKA ULIOMALIZA MFANO:S3409.0012.2013-form v KWENDA NAMBA...
Thursday, 8 June 2017
breaking news:AJALI BASI LA COASTLINE LINALOSAFIRI KUTOKA MWANZA KWENDA MOSHI
BREAKING NEWS.
Basi la kampuni ya Coastline lililokuwa linatoka Mwanza kuja Moshi via
Arusha limepata ajali mbaya maeneo ya King'ori- Kiwandani mida hii ya
saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni kubwa na vifo wachache. Kama una
ndugu aliyekuwa route hiyo leo jaribu kuwasiliana naye.
Vilevile kuna abiria waliokuwa wamefaulishwa kutoka kwenye mabasi mengine.
TAFADHALI TOA TAARIFA KWA WENGINE.
MUNGU...
Tuesday, 6 June 2017
Monday, 5 June 2017
Sunday, 4 June 2017
Saturday, 3 June 2017
MATOKEO UEFA 2017:REAL MADRID VS JUVENTUS,MADRID KASHINDA 4-1

Klabu ya madrid ikiwa chini ya kocha zidane imefanikiwa kuchukua ubingwa wa UEFA baada ya kuifunga klabu ya juventus goli 4-1.
HIYO HAPO SUMMARY YA MCHEZO,
Juventus 1 - 4 Real Madrid
FT
Champions...