Thursday 8 June 2017

breaking news:AJALI BASI LA COASTLINE LINALOSAFIRI KUTOKA MWANZA KWENDA MOSHI

...
BREAKING NEWS.

Basi la kampuni ya Coastline lililokuwa linatoka Mwanza kuja Moshi via Arusha limepata ajali mbaya maeneo ya King'ori- Kiwandani mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni kubwa na vifo wachache. Kama una ndugu aliyekuwa route hiyo leo jaribu kuwasiliana naye.
Vilevile kuna abiria waliokuwa wamefaulishwa kutoka kwenye mabasi mengine.
TAFADHALI TOA TAARIFA KWA WENGINE.
MUNGU TUEPUSHE NA HIZI AJALI.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger