Saturday 17 June 2017

TAARIFA KWA WALIMU WANAOTAKA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI

...


Tokeo la picha la SHULE YA SEKONDARI




Habari yako,

Je,wewe ni mwalimu unaetaka kuhama kituo chako cha kazi kwa kubadilishana na mwalimu mwenzako?basi ufumbuzi umepatikana.
 

Uongozi wa Maswayetu blog umeamua kuanzisha program ambayo itakufanya wewe mwalimu au mtumishi unaetaka kuhama shule kwenda wilaya nyingine usipate taabu hata kidogo.



UNACHOTAKIWA KUFANYA

Tuma jina lako kamili ,wilaya uliyopo,wilaya unayotaka kwenda na idara uliyopomfano (Mwl.Juma
 paul,nipo wilaya ya kishapu nataka kwenda wilaya ya kilwa Idara ya sekondari) Ujumbe wako utume kwa njia ya sms kwenda namba- 0621082183.



Baada ya kutuma ,Uongozi wa Maswayetu blog tutakutafutia mwalimu anaetaka kuja sehemu ulipo kwa urahisi na haraka zaidi.



Huduma hii utatozwa tshs 10000 tu,na utailipa baada ya kukabidhiwa mwalimu unaetaka kubadilishana nae.

"HADI SASA TUNA LIST NDEFU YA WALIMU WANAOTAKA KUBADILISHANA VITUO,NAFASI NDIO HII KARIBU SANA"


“TAFADHALI WAPE TAARIFA NA WENZAKO WOTE”



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger