Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
...
Sunday, 12 February 2017
Askofu Gwajima Kaachiwa Huru na Jeshi la Polisi

Askofu
Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo
jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo
cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa...
Saturday, 11 February 2017
Friday, 10 February 2017
Agizo wa Rais Magufuli uwanja wa ndege Dar laanza kutekelezwa

Shughuli
za ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam (Terminal 3) jana tarehe 09 Februari, 2017
zimeendelea kama ilivyoagizwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli aliyefanya ziara ya kushtukiza jana tarehe 08...
Thursday, 9 February 2017
TANGAZO:TUNAFANYA USAJILI WA VYUO VYA NACTE KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA FORM 4 NA 6
Habari zenu,
Je,wewe ni mhitimu wa kidato cha nne 2016 na kurudi nyuma?
Nacte imefungua application kujiunga na vyuo katika ngazi ya cheti na diploma mwaka wa masomo 2017/2018 March intake.
Maswayetu blog tutakusaidia kuomba kozi unayoipenda pamoja na kukupa ushauri kuhusu kozi ya kusoma nzuri yenye soko kwa sasa.
Ada ya maombi ni kama ifuatavyo:
Kwa eneo la Afya na Sayansi Shirikishi ada ya...
UFAFANUZI JUU YA UVAAJI WA SARE ZA JWTZ NA SHUKRANI KWA VYOMBO VYA HABARI

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu
uvaaji wa sare za Jeshi kwa viongozi wanajeshi wanaoteuliwa na kupewa
madaraka mbalimbali nje ya Jeshi. Hivi karibuni kumekuwa na mjadala juu
ya uhalali wa uvaaji wa sare hizo.
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania...
MZAZI ATAKAYEMRUHUSU MTOTO WAKE KUSHIRIKI KAMARI KUSHTAKIWA

Mtu yeyote atakaye ruhusu mtoto chini ya miaka 18 kushiriki, kuingia au
kukaa karibu na eneo la mchezo wa kubahatisha (kamari) anahesabiwa
kufanya kosa.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji ameyasema hayo leo
Bungeni, Mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mbunge Viti Maalum...
Vita dhidi ya dawa za kulevya DSM Watu maarufu wakiwemo wanasiasa waguswa

Sakata la dawa za kulevya katika jiji la dsm limeendelea kutikisa watu
maarufu,wakiwemo wafanyabiashara na wanasiasa Pamoja na Kiongozi maarufu
wa dini ambao wametakiwa kwenda kituo cha polisi cha kati siku ya
ijumaa kwa ajili ya mahojiano.
Mkuu wa Mkoa wa dsm Paul Makonda akizungumza...
Monday, 6 February 2017
HIZI HAPA HABARI KALI SIKU YA LEO JUMATATU FEB 6 2017
HIZI HAPA HABARI KALI SIKU YA LEO JUMATATU FEB 6 2017
MAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARI TAREHE 6.2.2017,SOMA HAPO>>>>>>>>https://goo.gl/870nRt
Serikali yatangaza ‘Diploma’ ndiyo kigezo cha chini cha elimu kwa waandishi wa habari,SOMA ZAIDI HAPO>>>>>https://goo.gl/dXaecr
VIDEO | MAdada Sita-TMK-MKUBWA NA WANAWE...
Chakula cha mtu mwenye Vidonda vya Tumbo

Hapo
kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo kisha tukasoma
kuhusu dawa mbadala ya vidonda vya tumbo na leo tunaendelea kuangalia
chakula cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo.Katika kutibu vidonda vya tumbo, mara nyingi ni lazima kupunguza uzalishaji wa asidi tumboni au...
Kulala chali kwa mjazito ni hatari kwa mtoto

Wanawake wajawazito wanaopenda kulala chali wapo kwenye hatari ya kuzaa mtoto mfu(stillbirth),kulingana na wanasayansi.Katika
utafiti uliofanyika nchini Ghana, wanawake wajawazito ambao walipenda...
Ukata kuchelewesha utoaji wa haki

Bukoba. Ukata katika Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba umesababisha majaji
kutoendeleza vikao vya kusikiliza mashauri 24 ya kesi za mauaji, hali
itakayosababisha haki kutokutolewa kwa wakati.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Salvatory Bongole akizungumza wakati wa
kilele cha...
Uporaji kwenye maduka, bodaboda wazua hofu

Mbeya. Wamiliki wa maduka, bodaboda na glosari jijini hapa wameingiwa
hofu baada ya kuibuka kundi la watu wanaodaiwa kuwa majambazi wanaopora
fedha na pikipiki tangu mwishoni mwa Januari.
Mitaa iliyoonja adha ya wavamizi hao ni ya Mafiati, Mwanjelwa, Mabatini,
Soweto na Mabanzini...