MTUMISHI wa umma atakayeshindwa kuwasilisha cheti cha elimu na
taaluma au “Index number” ya mtihani ili zihakikiwe na Baraza la
Mitihani la Taifa (Necta), itakapofika Machi mosi mwaka huu, atakuwa
kajiondoa kazini mwenyewe, imeelezwa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora), Angellah Kairuki alibainisha hayo mwishoni mwa wiki
wakati akifungua Mkutano...
Monday, 30 January 2017
Mahakama Yapiga marufuku amri ya Rais Trump kuzuia Watu Kuingia Marekani

Mahakama
moja ya New York Marekani imeridhia ombi la wanaharakati waliokwenda
Mahakamani kupinga amri ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo, kupiga
marufuku Wakimbizi wa Syria na raia wengine wa nchi sita za kiislamu
kama Iran, Iraq, Somalia, Sudan, Libya na Yemen wasiingie Marekani.
Mahakama
...
Picha: Treni ya abiria yapata ajali ikitokea Kigoma kwenda Dar

Treni
ya abiria ya EXPRESS ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam leo January
29 2017 imepata ajali maeneo ya Ruvu ndani ya mkoa wa Pwani ikiwa ni
kilometa kadhaa kabla ya kufika kwenye jiji la Dar es salaam.
Shuhuda
ambaye alikua ndani ya Treni hiyo amesema Behewa zaidi ya 10
zimepinduka...
Friday, 27 January 2017
Wazee 2 mbaroni kwa ubakaji, ulawiti watoto 11
WAKAZI wawili akiwemo Mustafa Kassimu (75) ambaye ni mganga wa tiba
za asili katika wilaya ya Korogwe mkoani Tanga na fundi wa kushona nguo,
Rashidi Singano (70) wa wilayani Lushoto, wanashikiliwa na polisi kwa
tuhuma za kubaka na kulawiti wanafunzi 11 wa shule za msingi.
Katika tukio la kwanza la Januari 24, mwaka huu, Polisi inamshikilia
fundi cherehani huyo ambaye...
Watu 14 akiwamo Mchina wafukiwa mgodini Geita

Watu
14 akiwemo Mchina, wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa katika mgodi wa
dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining Ltd uliopo Kata ya Nyarugusu
mkoani Geita.
Mkuu
wa Mkoa wa Geita, Ezekiel Kyunga jana alisema watu hao wamefukiwa chini
ya mgodi baada ya mlango wa kuingilia kwenye shimo la mgodi...
Tanzania na Malawi Kukutana Kujadili Sakata la Watanzania 8 Waliokamatwa

Tume
ya Ushirikiano wa Pamoja ya Kudumu (JPCC) kati ya Tanzania na Malawi,
inatarajia kukutana nchini humo kwa ajili ya kujadili masuala
mbalimbali, ikiwemo la Watanzania nane kukamatwa nchini humo kwa tuhuma
za kuingia eneo la migodini bila kuwa...
Mkuu wa Wilaya ajiuzulu, amwandikia barua Rais Dkt Magufuli

Aliyekuwa
mkuu wa wilaya ya Uyui Bw.Gabriel Mnyele akizungumza na Mwandishi wa
habari wa Azam tv Juma Kapipi wakati akiwa ofisi za CCM Wilaya ya Uyui
ikielezwa kuwa alikuwa ameitwa na Uongozi wa chama hicho kufuatia kuwepo
kwa taarifa kwamba ameamua kuachia ngazi nafasi ya Ukuu wa wilaya hiyo...
Thursday, 26 January 2017
Wednesday, 25 January 2017
NACTE:ORODHA YA VYUO VILIVYO RUHUSIWA KUDAHIRI WANAFUNZI KWA KIPINDI CHA MARCH / APRIL, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016 / 2017

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
ORODHA YA VYUO VILIVYO RUHUSIWA KUDAHILI WANAFUNZI KWA
KIPINDI CHA MARCH/APRIL, 2017 KWA MWAKA WA
MASOMO 2016/2017
BOFYA HAPA KUPATA ORODHA HIY...
NACTE YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA WANAFUNZI WANAOTAKA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA,UALIMU,MIFUGO,KILIMO ETC NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 -MARCH /APRIL INTAKE

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
TAARIFA KWA UMMA
KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA PAMOJA WA UDAHILI KWA KIPINDI CHA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Baraza la
Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), linapenda kuutangazia Umma na wadau
wote wa Elimu nchini, kuwa mfumo...
Tuesday, 24 January 2017
WANASIASA WANAOENEZA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU NJAA KUKAMATWA

Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni ameonya kuwa watu
wakiwemo wanasiasa wanaoeneza taarifa za uongo za kuwepo kwa baa la
njaa, ni kosa na wachukuliwe hatua ikiwemo kukamatwa.
Masauni
amesema bado kuna watu wanajichukulia mamlaka ambayo sio yao na kueneza
uongo kuwa...