Wednesday, 12 October 2016

TAARIFA KWA UMMA - TUZO KWA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 KATIKA MASOMO YA SAYANSI

 Ministry of Education, Science and Technology


Katika sherehe za maadhimisho ya Wiki ya Elimu yaliyofanyika mkoani Dodoma mwaka 2015 , Mhe. Balozi wa Jamhuri ya watu wa china aliahidi kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya Sayansi katika Mtihani wa kumaliza Kidato cha Nne mwaka

2014. Wanafunzi sita (6) walipatiwa zawadi hizo kwa niaba ya wenzao.
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ARDHI UNIVERSITY-ARU SECOND ROUND 2016/2017


Share:

Wafuasi 22 CUF Kortini Kwa Madai ya Kukutwa na silaha za Jeshi la Polisi


Wafuasi  22 wa Kundi la ‘Blue Guard’ la Chama
Share:

Burundi imeamua kusitisha ushirikiano wake na UN kuhusu Haki za Binadamu

Share:

UVCCM Wamtembelea Majeruhi Aliyetobolewa Macho na Scormpion,Wataka Jeshi la Polisi Liyabane Majambazi

UMOJA wa Vjana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umelihimiza Jeshi la polisi nchini kutambua kuwa ujambazi, wizi wa kutumia silaha na uporaji bado ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa kwa nguvu zote kama ambavyo nchi ilisimama na kutekeleza operesheni mbalimbali za ukombozi.

Pia, umesisitiza kuwa usalama wa raia na mali zao unahitaji kulindwa ili kuepusha vifo, hasara, unyang’anyi wa mali na vilema vya maisha kutokana na matukio yanayoweza kuwakumba wasio na hatia mijini na vijijini.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka, alieleza hayo jana alipomtembelea kumjulia hali majeruhi Said Ally, Mabibo Hostel.

Saidi alijeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake ikiwa ni pamoja na kutobolewa macho katika tukio wizi wa kutumia silaha Buguruni mjini Dar es Salaam, Septemba mwaka huu.

Shaka alisema tatizo la uhalifu, unyang’anyi, uporaji na ukwapuaji mali kwa kutumia nguvu na silaha, linahiaji kutazamwa kwa kina na upana unaostahili na vyombo vyenye dhamana vinavyosimamia usalama wa raia na mali zao.

Alisema kuna haja ya polisi kubuni mbinu mpya za kukabiliana na makundi ya wezi, waporaji na majambazi kabla hawajaleta madhara na hasara kama ilivyomtokea Said ambaye sasa  amesababishiwa ulemavu wa kudumu wa kutoona.

“Kila siku mbinu za uhalifu, ujambazi, wizi wa kutumia nguvu na silaha hubadilika, jukumu la kupambana na matukio hayo hatari ni la polisi kwa kushirikiana na raia wema, janga hili likiachwa wananchi wataishi kwa mashaka na hawatajituma kujiletea maendeleo,”alisema Shaka.

Alisema ikiwa wananchi wanajituma kwa bidii kutafuta fedha na kubuni miradi ya kiuchumi halafu majambazi na wanyang’anyi wanapora na kumfilisi aliyetafuta ndani ya saa chache, hilo linaweza kuwatia hofu mwananchi na wajasiriamali na kuwafanya washindwe kujituma kikamilifu jambo ambalo litakuwa na madhara makubwa katika kuzalisha mali na kukuza uchumi.

Akizungumza kwa masikitiko na huzuni kubwa , Shaka alisema tamaa ya kupata utajiri kwa njia haramu kwa mtu mmoja mmoja au kikundi, kumemsibaishia hasara ya maisha dhidi ya Said ambaye kwa sasa amekoseshwa uwezo wa kuendelea kupiginia maendeleo yake ya kiuchumi na taifa kwa ujumla.

“Ifike mahali tatizo la uhalifu, ujambazi na uporaji lishughulikwe kama harakati za mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi, ukoma na kifua kikuu, tukilipuuza tatizo hili litaigharimu jamii na kuwaletea kadhia ya umasikini wananchi na Tanzania kwa ujumla,”alieleza.

Kwa upande wake majeruhi Said aliishukuru UVCCM kwa kuonyesha kumjali na kufika kumjulia hali kutokana na janga lililomkuta na kumpa msaada huku akiwahimiza waendelee kuikumbusha serikali isimuache kwa sababu amedhulumiwa utu wake na watu aliowatuhumu kuwa ni majambazi bila ya hatia wala kosa lolote.

Said alisifu ujio huo wa ujumbe kutoka Makao Makuu ya UVCCM Taifa ulioongozwa na Shaka, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Omar Matulanga na makatibu wa umoja huo kutoka wilaya tano za mkoa huo.

Alisema akiwa kijana amefarijika kutembelewa na vijana wenzake huku akiwahimiza wasimchoke kwa sababu sasa amekuwa kipofu na hajimudu tena kimaisha.

“Endeleeni kuikumbusha serikali yetu na wasamaria wema wasinisahau, nina nguvu, akili na maarifa ya kujituma ili nizalishe ila nimedhulumiwa macho yangu na sina hakika kama nitaona kama mwanzoni “alisema
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO OCTOBER TAREHE 12.10.2016

Share:

Tuesday, 11 October 2016

MPYA:HUU HAPA UTARATIBU KWA FORM SIX WANAOTAKA KUHAMIA(TRANSFER) CHUO KIKUU MUM 2016/2017

Image result for mum.ac.tz
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA INSTITUTE OF ADULT EDUCATION 2016/2017

Institute of Adult Education
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU CBE-DODOMA 2016/17


 Home
Share:

NECTA:HII HAPA RATIBA YAMTIHANI KIDATO CHA PILI 2016 & RATIBA YA MTIHANI DARASA LA NNE 2016

Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY -MUST 2016/2017 FIRST AND SECOND ROUND

Image result for MUST.AC.TZ
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA DIT 2016/2017

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMANNE OCTOBER TAREHE 11.10.2016

Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALICOHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU KCMC 2016/2017

Image result for kcmc.ac.tz
Share:

Monday, 10 October 2016

MPYA:TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO HESLB KWA WAOMBAJI MWAKA WA MASOMO 2016/17,KUHUSU TAREHE UTOAJI WA MAJINA

 Image result for HESLB.GO.TZ
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imekamilisha zoezi la kurekebisha fomu za maombi ya mikopo kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Zoezi hilo lilianza tarehe 3 na kumalizika tarehe 7 Oktoba 2016.
Share:

First and Second Batch Students Selected to Join BOS in 2016/2017 Academic Year

Home

Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO CHA MAJI WDMI-UBUNGO SECOND ROUND 2016/2017

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger