Friday, 5 August 2016

MAGAZETI YA LEO IJUMAA AUGUST 5 2016

Share:

Thursday, 4 August 2016

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA UDOM POSTGRADUATE 2016/2017


Logo
The University of Dodoma (UDOM) wishes to announce the names of candidates selected for admission into various graduate programmes for the academic year 2016/17 which starts on October, 2016. Admission letters for successful candidates will be available in our website (www.udom.ac.tz) from Thursday, 04th August 2016.
Applicants whose names are not shown in the present list should consider themselves as not successful. Please note that, some applicants have not been allocated to their first choices but to the best qualified programme.
For enquiries please visit UDOM Graduate studies offices at the main administration building, Office No. 131, Third Floor or send email through udomgsce@yahoo.com
Document: List-of-Successful-Applicants-2016-2017-adverts
Share:

HII HAPA JOINING INSTRUCTION YA WANAFUNZI WA SPECIAL DIPLOMA WALIOHAMISHIWA CHUO CHA UALIMU MARANGU 2016

Share:

Breaking news:HAYA HAPA MAJINA YA MKOPO YA WANAFUNZI WA ST.JOSEPH WALIOHAMISHIWA VYUO MBALIMBALI 2016

 

SJUIT STUDENTS WHO HAVE BEEN RELOCATED TO OTHER HIGHER LEARNING INSTITUTIONS AND THEIR LOANS POSITIONS

The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) has been receiving complaints from former students of the St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) Arusha Campus, St. Joseph University College of Agricultural Science and Technology (SJUCAST) and St. Joseph University College of Information Technology (SJUCIT) whose approvals for their establishment had been revoked by the Tanzania Commission for Universities (TCU). The affected students complain that they were not allocated loans for the academic year 2015/2016.
Due to these ongoing complaints, the Management of HESLB wishes to inform the students and the general public that:
(i) TCU’s revocations affected a total of 3,722 students from above named Institutions who had to be relocated to other Higher Learning Institutions;
(ii) Following relocation of 3,722 students, HESLB was obliged to transfer loans for students who had been allocated loans in academic year 2015/2016 only. A total of 3,374 students fulfilled the criteria for transfer of their loans, and such loans were successfully transferred to their new institutions;
(iii) The remaining 348 students were not allocated loans in academic year 2015/2016 and therefore they had no loans to be transferred;
(iv) The above 348 students included 335 students from SJUIT Arusha Campus, who were suspended from studies in the academic year 2014/2015 for various reasons, and therefore lost their eligibility for loans in the academic year 2015/2016 as no examination results were submitted to HESLB to prove their status;
(v) The remaining 13 students were students formerly admitted to SJUIT, who later left SJUIT and are continuing with studies in other higher learning institutions;
Analysis of relocated students and their loan status is presented in the following Table.
Table 1: ANALYSIS OF STUDENTS WHO HAVE BEEN RELOCATED TO OTHER HIGHER LEARNING INSTITUTIONS AND THEIR LOANS POSITIONS FOR 2015/2016
INSTITUTION NUMBER OF RELOCATED STUDENTS LOANS SUCCESSFULLY ALLOCATED  STUDENTS REGISTERED TO OTHER INSTITUTIONS STUDENTS WHO WERE NOT LOANS BENEFICIARIES  2015/16
Marian University College 154  112 7  35
Mkwawa University College of Education  99  92  0  7
Mwenge Catholic University 718 700 0  18
Ruaha Catholic University 589  526  0 63
Sokoine University of Agriculture 1116  944 5   167
University of Dodoma  1046 1000   1  45
TOTAL 3722 3374 13 335
Therefore, following their ineligibility for loans in 2015/2016, the 335 were advised to apply for loans for academic year 2016/2017.
To view detailed lists of the names, kindly visit http://olas.heslb.go.tz

ISSUED BY:

Ag. EXECUTIVE DIRECTOR
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
AUGUST 4, 2016


Share:

Breaking news:APPLICATION ZA DIPLOMA KWENDA DIGRII 2016/2017 ZITAFUNGULIWA RASMI TAREHE 8.8.2016

tcu banner

CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you.

 

SOURCE:TCU DAR ES SALAAM

Share:

Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Singida.....Msigwa Ahutubia Iringa, Adai Serikali Imekurupuka Kuhamia Dodoma

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na polisi muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Ikungi, Singida. 

Wakati Lissu akiwa mikononi mwa polisi, Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa jana alifanya mkutano wa hadhara na kusema hakuna wa kumpangia cha kuzungumza kwenye mikutano yake. 

Kukamatwa kwa Lissu 
Lissu, ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema ndiye aliyetoa taarifa za kukamatwa kwake kwenye mtandao akisema: “Wakubwa sana salaam. Ninawaandikieni maneno haya nikiwa chini ya ulinzi wa polisi Singida.

" Nimemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mji mdogo wa Ikungi ambao ni makao makuu ya Jimbo langu la Singida Mashariki. Mara baada ya kushuka jukwaani nimefuatwa Regional Crimes Officer (RCO) wa Mkoa wa Singida aliyejitambulisha kwa jina la Babu Mollel na kunitaarifu kuwa ameelekezwa na Regional Police Commander (RPC) Singida nikamatwe apparently (dhahiri) kuna amri ya kunikamata iliyotoka Dar es Salaam.
 “Kwa hiyo niko nguvuni na ninasubiri maelekezo ya RPC juu ya wanakotakiwa kunipeleka. It’s likely (inawezekana) nitasafirishwa Dar usiku huu. In fact (hakika) ni usiku huu kwa taarifa za sasa hivi. Kwa vyovyote itakavyokuwa, there’s no turning back. There’s no shutting up (hakuna kurudi nyuma, hakuna kunyamaza). 

"Nitapambana kutetea haki yetu ya kuwasema watawala popote nitakapokuwa, whether in freedom or in jail (niwe huru au jela)... Aluta continua!. "

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka  alithibitisha kukamatwa kwa Lissu lakini alikataa kutoa sababu za hatua hiyo. 

Chadema jana jioni ilitoa taarifa kuhusiana na kukamatwa kwa Lissu ikisema: “Tunaweza kuthibitisha kwa vyombo vya habari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama Mh. Tundu Lissu anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi.” 
Taarifa hiyo iliyotolewa na Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene ilibainisha kuwa Polisi walimkamata jana jioni baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara alioufanya Ikungi jimboni kwake na kueleza kuwa viongozi wa chama hicho mkoani humo walikuwa polisi kuhakikisha anapata haki zake kama inavyostahili na kwamba ofisi ya katibu mkuu inafuatilia kwa ukaribu kujua sababu hasa ya kushikiliwa kwake na kutoa msaada wa haraka kadri itakavyohitajika. 
Lissu amekuwa kwenye misukosuko na Jeshi la Polisi mara kadhaa na kwa siku za karibuni alikamatwa na kufikishwa mahakamani akituhumiwa kutoa maneno ya uchochezi kwenye gazeti la Mawio. 
Sambamba na kesi hiyo, Lissu alikamatwa na polisi kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi baada ya kupata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. 
Msimamo wa Msigwa 
Mkoani Iringa, Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa kwanza wa kibunge tangu alipochaguliwa uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mjini hapa, alisema hakuna wa kumpangia hoja za kuzungumza kwenye mikutano yake. 
Juzi, mbunge huyo alipewa barua na Jeshi la Polisi iliyoeleza kuwa imempa kibali cha kufanya mikutano hiyo, lakini ikimuwekea masharti mbalimbali likiwamo la kutozungumzia viongozi wengine na badala yake ajikite kwenye shughuli za maendeleo na kuchukua maoni ya wananchi anaowawakilisha. 
Pia, alitakiwa kuhakikisha kuwa hakuna mtu kutoka nje ya Mkoa wa Iringa au eneo lolote lililo nje ya mamlaka atakayeruhusiwa kuzungumza. 

Lakini jana akihutubia alisema: “Ninaona watu wote mna nyuso za hofu na mimi nimekuja kuwaondoa hofu …hakuna mtu mwenye mamlaka ya kunipangia cha kuzungumza, sipo hapa kwa matakwa ya polisi … mimi nipo kwa matakwa ya kisheria na ninazungumza kwa mamlaka mliyonipatia.
 “Pia Katiba inaeleza wazi mad raka na kinga ya Mbunge… mbunge anayo haki ya kuitisha na kufanya mkutano wa hadhara kwa mjibu wa sheria.” 
Kuhusu Rais kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, Msigwa alisema hakubaliani na hatua hiyo kwa madai kuwa kufanya hivyo ni ukiukaji wa Katiba ya nchi na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992 ambavyo nchi inayoongozwa chini ya utawala wa kidemokrasia inapaswa kuvifuata.
 “Ninamuunga mkono na ninampongeza Rais John Magufuli kwa kupambana na ufisadi, anapinga rushwa… lakini siungani naye kwa kitendo chake cha kukandamiza demokrasia nchini na niwaombe wananchi wa Iringa kuungana na mimi kumpinga mtu anayekandamiza demokrasia nchini,” alisema. 
Kuhusu Serikali kuhamia Dodoma, mbunge huyo ambaye pia ni waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Nje, alikosoa uamuzi huo akisema hajawahi kuona katika mipango yote iliyowasilishwa na Serikali bungeni inayoelekeza hilo.
“Serikali ilileta mpango wake wa miaka mitano, mwaka mmoja na Bajeti, hivi vyote vinaletwa bungeni na baada ya kujadiliwa na kupitishwa, vinatungiwa sheria ili viweze kutekelezwa hivyo vipaumbele vyake ni lazima vifiti kwenye mipango hiyo,” alisema Msigwa na kuongeza:

 “Lakini katika vyote vitatu vya mwaka huu, mpango wa miaka mitano, mwaka mmoja na hata katika bajeti ya mwaka huu sijaona mahali popote palipoandikwa kipaumbele cha Serikali ni kuhamia Dodoma.” 
Msigwa alisema kuhamisha Serikali ni gharama kubwa na kuwataka wakazi wa Iringa na maeneo mengine kuhoji suala hilo kama ndicho kipaumbele cha maendeleo na mahitaji yao. 

Alisema wamejipanga kufanya shughuli za maendeleo ikiwamo miradi ya barabara, kuboresha huduma za afya, usafi wa mazingira na miundombinu. 
Mkutano huo ulihudhuriwa na madiwani wa halmashauri hiyo wakiongozwa na Mstahiki Meya, Alex Kimbe.
Share:

Magazeti Ya Leo Alhamisi ya August 4, 2016

Share:

Wednesday, 3 August 2016

MASWAYETU BLOG SASA INATOA HUDUMA ZIFUATAZO KWA WADAU WAKE ,KARIBUNI SANA

Je,wewe ni muhitaji wa huduma yeyote ya kielimu? usijali Maswayetu blog tumeamua kuanzisha huduma kwa wadau wake.

Tunafanya yafuatayo;
1.Tunaangalizia watu majina vyuo walivyochaguliwa mfano.vyuo vya afya,mifugo,kilimo, etc. kwa gharama nafuu

2.Tunatoa ushauri wa kielimu kuhusiana na maksi ulizopata ktk masomo yako,ili upate kozi nzuri yenye ajira ili usije sumbuka mtaani,pia tutakusaidia kuapply chuo kwa gharama nafuu.

3.Kama unaswali lolote  na ungependa kufahamu zaidi,kuhusiana chochote kile utafanyiwa hilo kwa gharama nafuu.

4.Tutakusaidia kuchagua chuo bora kwa ajili yako ,ili usije jutia baadae.

5.Pia tunasaidia kutafuta schoraship nje ya nchi.

GHARAMA YA YOTE HAYO NI NAFUU SANA

Malipo yote yatumwe kwenda namba 0768260834-MPESA 
                                                             0652740927-TIGO PESA


JINSI YA KUSAIDIWA:
ANDIKA SMS IKIELEZEA SHIDA YAKO,KWA UREFU TUTAISOMA NA KUKUJIBU,KAMA NI KUANGALIZIWA JINA LAKO,NAMBA YAKO YA MTIHANI NA MWAKA ULIOMALIZA THEN ELEZA SHIDA YAKO,TUTAKUJIBU.



TAFADHALI :LIPA KWANZA NDIO UTUME TEXT THEN TUTAKUSAIDIA KWA MOYO MMOJA


KARIBU SANA.
Share:

MPYA:TCU IMETANGAZA SCHORALSHIP KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA FORM SIX 2016 NCHINI TUNISIA 2016/2017

Share:

Download and listen: New song by Juma Nature _ Mitumba


Music : Juma Nature - Mitumba

Share:

Mwanafunzi UDOM auawa kwa kupigwa na wenzake Wakati Wakitoka Baa

Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Fredrick Joseph (25), ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na watu wanaosadikiwa kuwa ni wanafunzi wenzake wakati akitoka klabu ya pombe (Bar).

Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la chuo hicho ambapo mwanafunzi huyo alisikika akipiga kelele ndipo walinzi wakafika na kumkuta akiwa anagalagala njiani.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa, amesema mwanafunzi huyo ambaye ametokea Musoma mkoani Mara alishambuliwa kwa kupigwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika.

Amebainisha mwanafunzi huyo alikutwa majira ya saa 10 alfajiri katika eneo hilo la chuo hicho huku akisema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehemu huyo alikuwa na ugomvi na watu hao katika klabu ya pombe ya Canival Pub iliyopo chuoni hapo.

“Alipoondoka kurudi bwenini akiwa njiani alishambuliwa na watu hao wasiofahamika na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake, kipigo kilichosababisha kifo chake wakati alipokimbizwa kutibiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma,” alisema Mambosasa

Amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali hiyo kwa uchunguzi zaidi na hadi sasa hakuna mtu anayeshikiliwa kuhusiana na tukio hilo.

Alipoulizwa kuwa taarifa za mwanafunzi huyo kushambuliwa na wenzake, Mambosasa alisema kwasababu inadaiwa haifahamiki upelelezi bado unaendelea.

“Kwa sababu mwenye bar si yupo, kama kuna ugomvi ambao ulikuwa unaendelea tutajua tu, nimemuelekeza OCD kufuatilia ni nani waliokuwa wanakunywa kwenye hiyo bar chuoni, ni lazima tu watakuwa wanachuo ili tuwabaini,”

Kamanda huyo amesema ameelekeza uchunguzi wa kina ufanyike kama kulikuwa na ugomvi ndio hao hao walienda kumtegea njiani.

Chanzo cha habari ambacho hakikutaka kutaja jina lake kwa madai kuwa  siyo msemaji wa polisi kimesema kuwa marehemu Joseph alikuwa anakunywa pombe pamoja na marafiki zake lakini baada ya kulewa walianza ugomvi ambao hata hivyo waliamuliwa.

“Baada ya kuamuliwa ule ugomvi wa awali ndipo wenzake walipokwenda kumsubiria kwa mbele kwenye kichaka ambapo walimvamia na kumshambulia na kumwacha karibu ya kufa,” kilisema chanzo hicho.

Kiliongeza kuwa, baada ya kumwacha hapo na kutoweka ndipo walinzi wa chuo hicho waliokuwa doria walimuokota na kumfikisha kwenye kituo kidogo cha polisi kilichopo Chimwaga ambapo alikimbizwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma alipofariki wakati akipatiwa matibabu.

Chanzo hicho kimesema hakuna mtuhumiwa hata mmoja anayeshikiliwa na polisi kwa kuwa wote waliomshambulia walitoroka na hawajulikani walipo.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger