Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17.
Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na
- International Medical and Technological University (IMTU) – all programmes.
- St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – all programmes.
- University of Bagamoyo (UoB) – all programmes.
- St. Joseph University College of Engineering (SJUCET) – all programmes.
- University of Dodoma (UDOM) – Doctor of Medicine Programme
- State University of Zanzibar (SUZA). – Doctor of Medicine Programme
Kuweza kupakua (download) kitabu cha muongozo cha TCU bonyeza hapa >> Admission Guidebook