
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga
Mjini Steven Masele akionyesha sura ya kuchukizwa na uchafu ambao
umekithiri kwenye Soko kuu la Mji wa Shinyanga. Kulia ni mmoja wa
wafanyabiashara katika soko hilo akielezea changamoto ya uchafu katika
soko hilo hali inayosababisha...