Monday, 23 May 2016

MAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY TEREHE 23.5.2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Sunday, 22 May 2016

MPYA:ANGALIA HAPA SIFA ZA KUOMBA MKOPO PAMOJA NA KOZI VIPAUMBELE APPLICATION BODI YA MIKOPO 2016/2017-ZANZBAR

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Title Image

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR INAWATANGAZIA VIJANA WANAOHITAJI KUENDELEA NA MASOMO YA ELIMU YA JUU KWA MWAKA 2016/2017, KWAMBA FOMU ZA MAOMBI YA MIKOPO ZITAANZA KUTOLEWA KUANZIA TAREHE 02/05/2016 KATIKA OFISI ZAKE ZA UNGUJA NA PEMBA.KWA MAELEZO ZAIDI FUNGUA.

SIFA ZA WAOMBAJI.
VIPAU MBELE VYA WATAALAMU.
Share:

BREAKING NEWS:BASI LA LEO LUXURY COACH (DAR-MWANZA) LIMEPATA AJALI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Basi la Leo Luxury Coach limepata ajali ya kugongana na fuso hapa Manyoni, dereva wa fuso amefariki.

Abiria wa basi wote wazima, inasemekana fuso lilikosa breki wakati likishuka mlima.

1463929554701.jpg 1463929589746.jpg 1463929615037.jpg
[​IMG]
[​IMG]
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI FORM 6 WANAOKWENDA JKT KAMBI YA BULOMBORA-KIGOMA

Share:

FAMILIA YA STEVEN KABWE HAIJAKATAA KUISHIRIKISHA SERIKALI KWENYE MAZISHI/MSIBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

WIZARA YA AFYA:NAFASI ZA MASOMO(SCHORALSHIP NCHINI INDIA ) TIBA ASILI 2016/2017

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



Image result for SERIKALI YA TANZANIA

Share:

Mwandishi wa Global Makongoro Oging’ Afariki Dunia

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

makongoro
Share:

Kiba, Diamond Kimenuka Hatari!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Ali-Kibaaaaaaaaaa-333
Share:

MPYA:DOWNLOAD HAPA FILE LENYE MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA 6 KWENDA JKT RWAMKOMA,MSANGE,KANEMBWA NA BULOMBORA 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
upload_2016-5-21_8-34-17.jpeg
Share:

UPDATED:HAYA HAPA MAJINA YA KAMBI ZOTE 11 YA WANAFUNZI KIDATO CHA 6 WALIOPANGIWA JKT 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 









  Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG chini ya blogger boy tupo kikazi zaidi ,majina ya kambi zote hayo hapo chini,tafadhali usisahau kulike page yetu ya facebook kwa kubonyeza 'HAPA"

mwambie rafiki yako atembelee blog yetu.

Vikosi Walivyopangiwa Vijana kwa mujibu wa Sheria 2016

Tafadhali bonyeza jina la kikosi kutafuta jina lako
BULOMBORA -KIGOMA  RWAMKOMA - MUSOMA  KANEMBWA
 MSANGE - TABORA  MAKUTOPORA - DODOMA  RUVU - PWANI
 MGAMBO - TANGA  MARAMBA - TANGA  MLALE - SONGEA
 MAFINGA - IRINGA  MTABILA - KIGOMA


























Share:

HILI HAPA FILE MOJA LENYE MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA JKT KAMBI ZOTE KWA MUJIBU 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY TAREHE 22.5.2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Saturday, 21 May 2016

Mastaa Walivyofurika Shoo ya Jide

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SHOO YA JIDE (1)Staa wa filamu, Wema Sepetu akiwa katika pozi eneo la Blue Carpet mara baada ya kuingia ukumbini hapo.
SHOO YA JIDE (2)Mrembo anayefanya poa kwenye filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiingia ukumbini hapo.
SHOO YA JIDE (3)Lady Jaydee akiimba Wimbo wa Joto Hasira.
SHOO YA JIDE (4)
Jide akiongea na mashabiki (hawapo pichani) kabla ya kuimba Wimbo wa Siku Hazigandi.
SHOO YA JIDE (5)
Lulu akionesha kufurahishwa na jambo. Pembeni yake ni Dizzle.
SHOO YA JIDE (6)
Lulu akizungumza jambo. Pembeni yake ni DJ Majay ‘Majizo’.
SHOO YA JIDE (7)
Mama mzazi wa Lady Jaydee akiserebuka ukumbini.
SHOO YA JIDE (9)
Wema Sepetu akiteta jambo na staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba.
SHOO YA JIDE (10) SHOO YA JIDE (11) SHOO YA JIDE (12) SHOO YA JIDE (13)
Jide akiimba moja ya nyimbo zake.
SHOO YA JIDE (14)
Mshindi wa Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akiingia ukumbini hapo.
SHOO YA JIDE (15) SHOO YA JIDE (16)
Idris akikumbatiana na Wema mara baada ya kuingia.
SHOO YA JIDE (17) SHOO YA JIDE (18) SHOO YA JIDE (19) SHOO YA JIDE (20) SHOO YA JIDE (21) SHOO YA JIDE (22) SHOO YA JIDE (23) SHOO YA JIDE (24)
Mbunifu wa mavazi, Martin Kadinda akiserebuka.
SHOO YA JIDE (25) SHOO YA JIDE (26)
Nyomi ya mashabiki waliohudhuria ukumbini hapo.
SHOO YA JIDE (27)
Jide akiimba Wimbo wa Ndi Ndi Ndi ambao ulikuwa wa mwisho usiku huo.
SHOO YA JIDE (28)
Njemba moja ambaye jina lake halikufahamika, akishikiliwa na polisi mara baada ya kunusurika kichapo kwa kutaka kuiba simu.
SHOO YA JIDE (29) SHOO YA JIDE (30)
Njemba huyo akitolewa nje na polisi.
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL
Share:

FOLLOW BLOG YA MASWAYETU INSTAGRAM , FACEBOOK na WATSUP SASA KUPATA HABARI ZA UHAKIKA KWA WAKATI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tokeo la picha la INSTAGRA
Habari yako sasa unaweza kupata habari kwa uharaka zaidi ukiwa na blog ya MASWAYETU BLOG kwenye simu yako ,

KWA INSTAGRAM
search MASWAYETU BLOG TEAM then nifollow au bonyeza HAPA kunifollow kwa uharaka

KWA FACEBOOK
nitafute MATUKIO YA WANAVYUO THEN GONGA LIKE PAGE YETU
au bonyeza HAPA ku like

KWA WATSUP 
save hii namba 0768260834 kwa jina la maswayetu blog au blogger boy then nitext watsup neno "HABARI" nitakuweka kwenye list ya watu watakaopokea habari haraka zaidi

UKIFANYA HIVYO UTAPATA HABARI ZETU
KWA WAKATI
THANKS
MASWAYETU BLOG TEAM !





Share:

CCM yavuliwa nguo bungeni

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo imeivua nguo Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni.


Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kwamba, Serikali ya CCM ina ufundi wa kupanga mipango mingi lakini haina uwezo wa kutekeleza na kwamba, kinachofanywa ni kudanganya wananchi.

Moja ya mambo yanayoonekana kukera upinzani ni pamoja na Serikali ya CCM kutotoa fedha za miradi kwa wakati jambo linalosababisha kukwama kwa mipango iliyopangwa.

Hayo yamesema na Wilfred Lwakatare wakati akitoa hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni leo mjini Dodoma kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017.

“Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ilitengewa fedha iliyokuwa imeombwa na kupitishwa na Bunge katika mwaka wa fedha 2015/2016. Hata hivyo kutokana na sababu ambazo Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni haikuweza kuzifahamu, fedha zilizotengwa hazikuweza kutolewa kama ambavyo ilipangwa na kusababisha kukwama kwa mipango iliyokuwa imepangwa kufanyika,” amesema.

Lwakatare amesema, sababu ya kutotolewa fedha za miradi mapema na kwa wakati ni kitendo cha Serikali ya CCM kupanga mipango mingi kila mwaka na kwamba utekelezaji wake umekuwa duni.

“Mtiririko mkubwa na ahadi na mipango chungu nzima niliyoitaja na nyingine niliyoiacha ambayo ilipangwa na kuahidiwa na Wizara kutekelezwa katika kipindi cha Bajeti ya mwaka 2015/2016, utekelezwaji wake ndicho kinapaswa kuwa kipimo pekee cha utendaji wa Wizara hii,” amesema.

Amesema, serikali haina budi kutoa fedha za kutosha kwenye wizara hiyo kwa kuwa, ina majukumu mengi hasa kutokana na ongezeko la wananchi wengi wenye uhitaji wa huduma zitolewazo na wizara hiyo.

“Majukumu ya Wizara hii ni makubwa na kuna ongezeko la wananchi waliowengi wanaohitaji huduma zaidi kutoka Wizarani.

“Katika mipango ya bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017, wizara imetengewa fedha ndogo zaidi ukilinganisha na fedha zilizokuwa zimetengwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2015/2016 ambacho ni kiasi cha shilingi 72,356,901,000/=ukilinganisha na kiasi cha shilingi 61,827,711,000/ kwa mwaka wa fedha 2016/2017,”amesema.

Lwakatare amesema kuwa bajeti iliyotengwa haitakidhi mahitaji ya wizara ya ardhi hasa kwa fungu dogo lililotengwa kwa ajili ya matumizi mengine(OC) na kwamba fungu hilo halitoshi kusimamia mipango ya maendeleo.

“Kwa jinsi bajeti ilivyotengwa ni maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuwa hali hii ni kuonyesha kujikwaa kabla ya safari kuanza. Fungu la OC ambalo limetengewa kiasi cha Tshs. 2,548,492,000 pekee ni dogo mno kuweza kusimamia mipango ya maendeleo,” amesema.

Amesema, licha ya fungu la matumizi mengine kugeuzwa kichaka cha kuendeshea ufisadi, ubadhirifu na matumizi yasiyo na tija, serikali inatakiwa kuendelea kutoa fungu hilo kwa kuwa miradi ya maendeleo husimamiwa na kuratibiwa na fungu hilo.

“Ni kweli kuwa kipindi cha nyuma fungu hili limekuwa likitumika kama kichaka cha kuendeshea ufisadi, ubadhirifu na matumizi yasiyo na tija. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inaona kuwa inapofikia hata kmaeneo muhimu yakanyimwa fungu hili, swali linabaki kwamba hiyo pesa inayoelekezwa kwenye miradi ya maendeleo itasimamiwa na kuratibiwa vipi?” amehoji.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger