Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi prof. Joyce
Ndalichako akieleza jambo wakati akiwa kwa viongozi wa chuo kikuu cha
St. Joseph leo asubuhi. (picha na Adrian Mgaya)
Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce
Ndalichako leo amewapa siku tano wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph
tawi mama lililoko maeneo ya Mbezi Jijini Dar es salaam ili wafanye
mitihani yao ili wafunge chuo na kupisha ukarabati wa baadhi ya maeneo
ambayo yatatumika kwa ajili ya mafunzo stadi ya wanafunzi hao.
Mbali
na kutoa agizo hilo waziri ndalichako alitumia fursa hiyo kuwaomba
wanafunzi wote nchini waache kulalamika bali wasome kwa bidii na kuwa na
nidhamu ya kutosha.
katibu
mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Prof. Yunus Mgaya (kushoto) akiwa na
katibu mkuu wa wizara ya Elimu. Sayansi Teknolojia, na Mafunzo ya Ufundi
wakisikiliza kwa makini maneno ya Waziri wa Elimu Prof Ndalichako,
hayupo pichani (picha na Adrian Mgaya)
waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo aliyokuwa anayazungumza Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako
wanafunzi wa chuo cha St. Joseph wakimsikiliza waziri wa Elimu Prof. Ndalichako (hayupo pichani).
waandishi
wa Habari wa gazeti la The Hill Observer lichapishwalo na Chuo Kikuu
cha Dar es salaam wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani wa serikali ya
wanafunzi wa chuo kikuu cha St.Joseph Mwendwa Ramadhani Mwendwa.
The Tanzania
Commission for Universities (TCU) is a semi-autonomous statutory body
under the Ministry of Education, Science and Technology. TCU is mandated
recognized, approved, register and accredit universities operating in
Tanzania. TCU also coordinates the proper functioning of all university
institutions in Tanzania so as to foster a harmonized higher education
(HE) in the country. Tanzania Commission for Universities now invites applications from qualified Tanzanians to fill the following vacant position:
1. Director of Accreditation and Quality Assurance
Age: Forty(40) years of age and above
MODE OF APPLICATION
Applicants
who meet the stated requirements for the advertised post and would like
to serve the Tanzania Public Service through Tanzania Commission for
Universities, should send their applications to:
The Executive Secretary Tanzania Commission for Universities P.O. Box 6562 Dar es Salaam
NOTE:
Only shortlisted candidates who meet the above criteria will be
contacted and those who will not hear from us should consider themselves
unsuccessful
Ajali Mbaya imetokea leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es
Salaam ikihusisha malori mawili na daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo
la Mboto kuelekea Ubungo Kwa mujibu wa mganga mkuu Hospitali ya Amana, Dr Stanley Binagi, watu wanne wamefariki dunia huku 25 wakijeruhiwa.
Inaelezwa kuwa, Chanzo cha ajali hiyo, ni Lori lililobeba Mchanga
ambalo liliikuwa kwenye mwendo kasi, kwenda kuligonga Daladala hilo kwa
nyuma, hali iliyopelekea Daladala hilo kukosa mwelekeo na kwenda
kugongana na Lori lingine lililokuwa limepakia Ng'ombe waliokuwa
wakipelekwa Pugu Mnadani.