Friday, 23 October 2015
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WA UDOM 2015/2016
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
IMPORTANT NOTICE TO STUDENTS
PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS:
ALL STUDENTS ARE REQUIRED TO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR ACADEMIC YEAR 2015/2016 BY 30TH OCTOBER 2015. STUDENTS WHO WILL FAIL TO COMPLY WITH THIS NOTICE WILL NOT BE ALLOWED TO CONTINUE WITH THEIR STUDIES.PAYMENT MUST BE MADE BEFORE STUDENTS REPORTING TO THE UNIVERSITY.
Wednesday, 21 October 2015
HAYA HAPA MATOKEO YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU-KUPITIA NACTE 2015/2016
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
- Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kujiunga na kozi mbalimbali za Ualimu kwa ngazi ya Stashahada na Stashahada ya Juu kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) kuwa, Kikao cha Pamoja cha Udahili (Joint Admission Committee on Teachers Education) kilichofanyika tarehe 15 Oktober 2015 na kukutanisha Uwakilishi wa Wizara, Baraza (NACTE), wakuu wa vyuo vinavyotoa Mafunzo ya Ualimu na wadau wengine washiriki kiliidhinisha uteuzi wa awali ambapo waombaji 8544 kati ya 14470 wameteuliwa kujiunga na vyuo mbalimbali.
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MUHIMBILI DIPLOMA&ADVANCED DIPLOMA 2015/2016
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The following candidates have been selected to join the Muhimbili University of Health and Allied Sciences for Undergraduate and Postgraduate Programmes for the academic year 2015/2016. For more details, download
CLICK HERE TO SEE Selected applicants for Diploma and Advance Diploma

HAYA HAPA MAJINA AWAMU YA PILI(2ND BATCH) YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MZUMBE 2015/2016
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hatimae chuo kikuu MZUMBE kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chu hicho mwaka wa masomo 2015/2016 awamu ya pili 2nd batch.
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia watu majin yao endapo kama wamechaguliwa kujiunga na chuo hiki kwa awamu ya pili.
Endapo utahitaji kuangaliziwa jina lko fanya yafuatayo,

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOAPATA MKOPO 2015/2016 -CHUO KIKUU CHA UDAKTARI ST.FRANSIC IFAKARA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
LOANS OR GRANTS ALLOCATION FOR THE CONTINUING STUDENTS 2015/2016 ACADEMIC YEAR
MUHIMU SANA!
SFUCHAS hereby provides important information on LOANS or GRANTS Allocations for the continuing students 2015/2016 Academic year. All Loans or Grants beneficiary students should NOTE this:
- If you find either MISSING or INCORRECT Information e.g. Name, Reg. Number, Year of study etc..., Please, immediately contact the LOAN OFFICER +255 717 632 391.
- Its better you pass this important information to your fellow/colleague.
- Deadline is Wednesday, 21 October, 2015.
DOWNLOAD HAPA RATIBA YA SUPLMENTARY EXAMS CHUO KIKUU UDOM 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SUPPLEMENTARY_SPECIAL EXAMINATION TIMETABLE FOR 2014_2015
chss supplementary special examination timetable for 2014_2015 continuing students final
RAIS KIKWETE AKABIDHI JESHI LA POLISI MAGARI 399 MAPYA KATI YA 777 YALIYOINGIZWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.

Sehemu ya magari hayo
Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu akisoma risala kwa Rais Kikwete katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Sehemu ya maafisa waandamizi wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi
Maafisa wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi
Maafisa wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akihutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akikata utepe katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akimkabidhi IGP Mangu funguo za magari hayo katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akishukuriwa na IGP Mangu baada ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akikagua sehemu ya magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.

Rais Kikwete akikagua sehemu ya magari 399 kati ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na maafisa na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya madereva na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Picha ya kumbukumbu na makandarasi walioleta magari hayo
Naibu IGP akitoa salamu za shukurani kwa Rais Kikwete
Rais Kikwete akiongea na IGP Mstaafu Dkt. Saidi Mwema baada ya sherehe hiyo
Sehemu ya magari 399 kati ya 777 yaliyoagizwa.
PICHA NA IKULU.