Friday, 31 July 2015

MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 31.07.2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Thursday, 30 July 2015

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 30.7.2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Wednesday, 29 July 2015

Magazeti ya leo jumatano julai 29,2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Tuesday, 28 July 2015

Mtoto wa Gaddafi ahukumiwa kunyongwa

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Saif_Gaddafi_Zinta_2934739b
Share:

Picha mbalimbali :LOWASSA RASMI UKAWA,AKABIDHIWA KADI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Sunday, 26 July 2015

MAGUFULI AWATAKA WANANCHI WACHAGUE WABUNGE WA CCM

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MGOMBEA urais mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amewaomba wananchi wa mkoa wa
Share:

Breaking news: MABADILIKO YA SHULE/TAHASUSI KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI MWAKA 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 



MABADILIKO YA SHULE/TAHASUSI KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI MWAKA 2015

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) ilitangaza majina ya wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2015, tarehe 30 Juni, 2015. Baada ya majina haya kutangazwa, OWM-TAMISEMI imepokea maombi mengi toka kwa Wazazi/Walezi na Wanafunzi ya
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULY 26 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

...
 read more>>>>>>>>.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULY 26 2015

Share:

Saturday, 25 July 2015

ANGALIA MATOKEO YA UCHAGUZI BURUNDI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

WABUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA SHINYANGA KUPITIA CCM

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 

Mheshimiwa Lucy Mayenga
Wanachama wa Umoja wa Wanawake CCM(UWT) mkoa wa Shinyanga waliojitokeza kugombea nafasi za ubunge  viti maalum kati ya kumi waliojitokeza kuwania nafasi hiyo,Mheshimiwa Lucy Mayenga ameibuka mshindi wa kwanza kwa kupata kura  353 akifuatiwa na mheshimiwa Aza Hilal aliyepata kura 342 kati ya kura 440 zilizopigwa.



Katika uchaguzi huo mgombea kupitia kundi la Wafanyakazi aliyejitokeza ni mmoja pekee ambaye ni Dkt Flora Masakilija,kundi la watu wenye ulemavu pia alijitokeza mmoja Rehema Joshua ambao wote walipata kura za ndiyo 331
Mheshimiwa Aza Hilal
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger