INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tuesday, 14 July 2015
Monday, 13 July 2015
WARDA MAKONGWA ,KIUKWELI UNANIKOSHA SANA
Sunday, 12 July 2015
TANZIA: Muigizaji mkongwe, Mzee Ojwang (Benson Wanjau) afariki Dunia nchini Kenya
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mzee Benson Wanjau maarufu kama Mzee OJWANG HATARI mume wa Mama Kayaii amefariki usiku huu majira ya Saa 2 Hospital ya KEnyatta National Hospital alipikuwa akipata matibabu ya maradhi yaliyomsumbua kwa kipindi kirefu kidogo.

SERIKALI YATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2015,WAMECHAGULIWA UDOM SPECIAL DIPLOMA
JOHN POMBE MAGUFULI MGOMBEA URAIS CCM 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa habari za kuaminika kutoka vanzo vyetu vya habari ni kwamba zoezi la kuhesabu kura limekamilika na kura kwa wagombea wetu ni kama ifuatavyo,
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Anandika Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).