Wednesday, 29 April 2015
ANGALIA HAPA MATUKIO KATIKA PICHA MBALIMBALI MAZISHI YA BRIGEDIA HASHIM MBITA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita azikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar

Viongozi
mbali mbali wa Dini ya Kiislam wakishiriki pamoja na waumini wao kwenye
Ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim
Mbita kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na baadae kwenda kuuhifadhi
kwenye nyumba yake ya milele, Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam
leo.Picha zote na Hamis Makuka.
KILI MUSIC AWARD 2015:"HAYA HAPA MAJINA YA WASANII WALIOTEULIWA KUGOMBANIA TUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2015"
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli (katikati) akizungumza jambo,
kulia ni Mratibu wa Tuzo za Muziki Tanzania kutoka BASATA, Kurwijira
Maregesi pamoja na Msimamizi wa Mahesabu na Utawala kutoka AUDITAX.
AJALI:"BASI LA ABOOD LAGONGANA NA BASI LA AKTRI MAENENO YA MIKESE"
Mpya:"JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MABINTI 293,WALIOKUWA WAMETEKWA NA BOKO HARAM
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa
watoto wa kike mia mbili na tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko
Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, kaskazini mashariki mwa nchi
hiyo. Jeshi hilo limesema watoto hao waliokolewa si kati ya wale
waliotekwa mwaka mmoja uliopita na kundi la kiislamu katika eneo la
Chibok.
Tuesday, 28 April 2015
Sadc Council of Ministers meets
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Sadc Council of Ministers, which is part of the regional bloc’s Extraordinary Summit of Heads of State and Government that started in Harare on Saturday, is meeting today to receive
The Sadc Council of Ministers, which is part of the regional bloc’s Extraordinary Summit of Heads of State and Government that started in Harare on Saturday, is meeting today to receive
230 killed in fighting between Niger, Boko Haram militants
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Nigerian soldiers man a check point in Gwoza, Nigeria, a town
BREAKING: Nigerian military says 200 girls have been rescued from Sambisa Forest
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Nigerian troops have stormed the Sambisa Forest, a wide expanse
Read:Indonesia executes eight prisoners for drugs offences
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Earlier the police firing squad was seen boarding the boat to the island where the executions took place
Earlier the police firing squad was seen boarding the boat to the island where the executions took place
WALIMU WALIOJIRIWA NI 30,000, KUANZA KAZI MEI MOSI 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Dar es Salaam. Serikali imetangaza ajira mpya za walimu 31,056 wanaotakiwa kuanza kazi kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
Dar es Salaam. Serikali imetangaza ajira mpya za walimu 31,056 wanaotakiwa kuanza kazi kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TONTO-SOPHIA_REMIX YA 6 WIMBO WA BEN POL
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
baada ya kuonesha kwamba msanii ben pol kweli aliutendea haki wimbo wake sophia wasanii
baada ya kuonesha kwamba msanii ben pol kweli aliutendea haki wimbo wake sophia wasanii
"DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DULLY SYKES-SHUKA"
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Msanii wa kizazi kipya dully sykes aachia ngoma mpya iitwayo shuka download hapo chini
Msanii wa kizazi kipya dully sykes aachia ngoma mpya iitwayo shuka download hapo chini

MPYA:MAAJABU YA MWAKA DAR,SOMA HAPA IMEKUAJE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

HII kali! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Alice May John (55) ameilalamikia nyumba yake iliyopo Sinza ‘D’ (Madukani) wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam kwamba, ina mauzauza ya kutisha, hali inayowafanya wapangaji kuikimbia kila wakati kwa kuhofia maisha yao.

HAYA NDIO MAMBO 15 YATAKAYOTULETEA VURUGU UCHAGUZI MKUU YASIPODHIBITIWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiwa Ikulu katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa siasa nchini.
Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiwa Ikulu katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa siasa nchini.