INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Sunday, 26 April 2015
Saturday, 25 April 2015
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WALIOTAJWA KUWANIA TUZO ZA WATU 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa ambapo mapendekezoyaliyokuwa yakitumwa na watu kwa wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.
Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:
Mtangazaji wa redio anayependwa
TZW1
Dida – Times FM
NEWS:WATU 560 WAFARIKI KWA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Majengo yaliyoporomoshwa kwa tetemeko la ardhi nchini Nepal.
Majengo yaliyoporomoshwa kwa tetemeko la ardhi nchini Nepal.WEMA KIBOKO....TAZAMA BONGE LA MUVI ALILO CHEZA NCHINI GHANA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The film produced by Van Vicker, where Wema Sepetu has been engaged.
and the Video below shows a

MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA JANGWANI,KUBWA ZAIDI MWANAFUNZI ROSEMARY MUSHI APEWA ZAWADI ZA KITAALUMA AONGOZA SOMO LA KEMIA,PHYSICS,BIOLOGY&HESABU!
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwanafunzi aliyepata vyeti mbalimbali vya taaluma takribani saba kwa kufanya vizuri katika masomo ya Kemia, Biyolojia, Fizikia, Hesabu, cheti cha kuwa mwanafunzi bora katika masomo, uongozi, uongozi bora pamoja na zawadi Rosemary Mushi akipongezwa na Mgeni Rasmi na Mkurugenzi Mtendaji wa Tausi Dreams Foundation Tausi Likokola na kukabidhiwa vyeti vyake wakati wa mahafali ya kidato cha sita yalifanyika shule ya sekondari Jangwani mwishoni mwa wiki.
NAFASI ZA KAZI TAASISI YA MIFUPA MOI,DEAD LINE NI TAREHE 30TH APRIL 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Posted on 15 Apr 2015
Muhimbili Orthopaedic
Institute (MOI) is an autonomous i
NAY WA MITEGO, SHAMSA MKE NA MUME!
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na
Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na










