INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WATUHUMIWA
SUGU WA KUPORA RAIA WA KIGENI NA AKINA MAMA KWA KUTUMIA GARI WANASWA NA POLISI
DAR ES SALAAM
Mlinzi wa Kampuni ya Bonite, aliyetambulika kwa jina la Shamba baada ya kupigwa risasi na majambazi mjini Moshi.
Dereva wa Kampuni ya Bonite aliyetambulika kwa jina moja la Mselemu mara baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi.
MAJAMBAZI
yaliyokuwa na silaha yamevamia gari mali ya Kampuni ya Bonite na
kuwamiminia risasi dereva wa gari hilo aliyetambulika kwa jina moja la
Mselemu na mlinzi wa Kampuni hiyo aliyetambulika kwa jina la Shamba
kisha kupora fedha na kutokomea kusikojulikana.

