INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wananchi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Marehemu
Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na
marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga
Maili mbili jan...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
amaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta
akinusa kifo baada ya kula kipigo ‘hevi’ wakati akifanya jaribio la
wizi wa fedha kiasi cha shilingi laki 450,000 kupitia huduma za fedha
kwa mitandao ya simu.
Akiomba kuachiwa baada ya kupewa kichapo ki...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Anafahamika
zaidi kama Rose Ndauka ni mmoja warembo wenye mvuto wa pekee ndani ya
tasnia ya bongo movies kwa vipaji vyake vingi sana.
Licha ya kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza pia rose ni mwandishi na mwongozaji wa Filamu.Akiwa
ameshaigiza kwenye zaidi ya...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU TOZO KWENYE SEKTA YA TEHAMA
Katika wiki ya pili ya Februari 2015,
baadhi ya watoa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi walianzisha
vifurushi vya mawasiliano na bei na kusabababisha malalamiko kutoka kwa
watumiaji na umma kwa ujumla. TCRA, kwa kuzingatia upeo wa shughuli
zake, imechambua hali hiyo na inapenda kutoa maelezo na...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Anglican Bishop Valentino Mokiwa .
Leonida Monera, a resident of Dar es Salaam is
aware of the negative impacts of sending very young children to boarding
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Minister for Works Dr John Magufuli.
Minister for Works Dr John Magufuli who is also a
Member of Parliament for Chato (CCM) has sent a message of condolence to
the mother of Yohana Bahati, an albino child who was abducted recently
and brutally...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tanzania President Jakaya Kikwete
Non-tariff barriers deny the EAC opportunity to
unlock the immense promise of integration and starves businesses of
innumerable opportunities, Tanzania President Jakaya Kikwete said
Friday...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwandishi wetu TAYARI
imebainika kwamba, baadhi ya viongozi walioonesha nia ya kugombea urais
mwaka huu wameanza kupigiwa debe na wake zao ndani ya mitandao ya
kijamii ili waume hao watakapoibuka na ushindi wapate nafasi ya ‘u–First
Lady’, Risasi Jumamosi linakupa zai...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
1
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
NOTISI YA SIKU 30 YA KUSUDIO LA KUFUTA USAJILI NA KUSHUSHA HADHI YA
USAJILI KWA VYUO/TAASISI ZA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Utangulizi
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Februari 19, 2015) wakati akizungumza na mamia ya wakazi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ili kuboresha...