INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano
Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura 287 (kwa Mamlakaza Wilaya) na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) Sura 288 (kwaMamlaka za Miji) zinaelekeza kuwa Uchaguzi wa Viongozi wa Mitaa, Vijijina Vitongoji hufanyika kilabaada ya miaka mitano (5).