Kumekuwa na sintofahamu nyingi ni chuo gani kinachoongoza kwa kutoa wanafunzi wenye elimu ambayo ni competent tanzania,utafiti uliofanyika wiki iliyopita umeonyesha kuwa elimu itolewayo chuo kikuu cha dar es salaam bado ipo juu na graduates wake wamekuwa wakifanya makubwa wawapo kazini,Pia zimetajwa kozi zenye mafanikio chuoni hapo ,Ni pamoja na SHERIA, na Education.
Chuo cha pili kwa ubora wa elimu na chenye kutoa graduate wazuri ni chuo kikuu cha SUA kilichopo mkoani morogoro,pia utafiti umeonyesha kuwa chuo hicho 93% ya kozi zake zimekuwa na soko sana kwenye ajiya baadhi ya kozi zilizoorodheswa ni,Bachelor of veternary medicine(BVM),Bsc.AGRONOMY,Bsc.Irrigation engineering,Bsc.Food science and Technology,Bsc.Agriculture general,Bsc.Animal science.
Vyuo vingine ni kama vinavyoonekana hapo chini 1 University of Dar es Salaam . (UD) 2 Sokoine University of Agriculture (SUA) 3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences (Muhas)
Ndg
Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo
na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko
yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge Shukuru Jumanne
Kawambwa kutokana na
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Applications
are invited from qualified Tanzanians to pursue Undergraduate degree
programs in Algeria for the year 2014/2015. The medium of instruction is
French.
FIELDS OF STUDY
Medicine
Economic, Management and Commercial Sciences.
Mathematics and Computer science
State Engineer in Telecommunications
Science and Technology (Environmental Engineering)
Science and Technology (Architecture)
Science and Technology (Hydrocarbons and Chemistry)
Science and Technology ( Electronics)
Science of Earth and Universe (Hydrogeology)
Science of Nature and Life (Food Industry)
Science of Nature and Life (Biology and physiology of Organism)
Science of Nature and Life (Ecology and Environment)
Stori: Waandishi wetuKABAANG! Dokta mmoja aliyefahamika kwa jina la
Herman amenaswa katika dispensari moja iliyopo Buguruni Kwamnyamani
jijini Dar akijiandaa kumtoa mimba mwanafunzi.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY WATOTO wawili wa familia moja, Nuru (3) na Dora
Kaitaba (2), wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kubaki majivu baada
ya moto mkubwa uliotokana na petroli kulipuka nyumbani kwao, Mapinga,
Bagamoyo mkoani Pwani.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi
kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki
iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake
bila kufafanuliwa.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kufuatia vifo vya wasanii vilivyotokea mfululizo, mwigizaji Baby
Joseph Madaha amelazimika kubadili mtindo wake wa maisha na kuishi
kitakatifu.
ASKARI
wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kambi ya Pangawe mkoani Morogoro
wamemuokota mtoto mwenye umri wa miaka sita, Mwajuma Athuman aliyedai
kukimbia mateso kutoka kwa mama yake mkubwa Juni 17, mwaka huu.
CHUKI
tu! Katika jambo ambalo limeuumiza moyo wa Miss Tanzania 2006/07, Wema
Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ tangu awe staa, ni ishu iliyotokea
wikiendi iliyopita baada ya mtu asiyejulikana kutengeneza picha chafu ya
mama mzazi wa mrembo huyo, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye
mitandao ya kijamii kitu ambacho kilimshtusha na kujikuta akipoteza
fahamu.