Tuesday, 3 June 2014
Monday, 2 June 2014
Mambo Ambayo Wanawake Wanafanya ili Kuleta Mvuto Lakini Hayashtukiwi na Wanaume Kivile
1. Kubadili mtindo wa kujikwatua.
Mwanamke anaweza kuwa amezoea kujikwatua
kwa namna fulani lakini baada ya muda akaamua kubadili muonekanao wake
kwa kubadilisha aina mpya ya kujikwatua kwa kuongeza vikorombwezo fulani
fulani akitegemea mwenzi wake ata notes lakini asijue kwamba wanaume
kwenye jambo hilo wala haliwagusi kabisa mpaka wafanye kushtuliwa.
NDOA NDOANO, MUME AMPIGA MKE WAKE KWA MCHI KICHWANI KISA HAWARA
MY God! Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Pamela Said (30)
amedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja
la Alex kisa kikiwa ni simu aliyopigiwa mumewe na hawara’ke.
MAJANGA BONGO MOVIE MTITU AMPA MAKAVU JB
KATIKA hali ya kushangaza msanii wa filamu na
Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu amemchana live msanii mwenzake,
Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kutoa mchango mdogo kwenye msiba wa Sheila
Haule ‘Recho’.
BONGO MOVIE BIFU MWANZO MWISHO,BIFU LA RAY NA JOHARI
Ishu! Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ Productions, waliowahi kudaiwa
kutoka kimalovee, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’
wametoa kali ya katika Makaburi ya Kinondoni, Dar, wakati wa mazishi ya
mwigizaji mwenzao, Sheila Haule ‘Recho’ baada ya kuombwa kwa pamoja
wainuke kuweka shada kaburini lakini wao wakachengana.
Sunday, 1 June 2014
HOSPITALI YA RUFAA KUJENGWA SINGIDA-ZAIDI YA BILIONI 6.7 ZATENGWA
Katibu
Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahamani Kinana akiongozwa na Mkuu wa Moa wa
Singida Dk, Parseko Kone, Katibu Tawala Lianna Hassan na viongozi
wengine wa Mkoa wa Singida kukagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa
hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, wakati Kinana alipokuwa Mkoani
Singida kwa ziara ya kikazi ya siku saba.(Picha na Zainul Mzige wa
modewjiblog).
JE,ULIYAFAHAMU HAYA KUHUSU MAREHEMU GEORGE TYSON?SOMA HAPA

Jana usiku habari zilizoshtua watu wengi ni kuhusu kifo cha director mashuhuri George Tyson. Hivi sasa kuna taarifa ambazo hazijawahi kutolewa na hawa wahusika kuhusu marehemu Tyson.
MASANJA NA DIAMOND WASHAMBULIWA NA MASHABIKI,WASHINDWA KUTOA POLE MISIBA 3 BONGO
Ukiingia
Instagram leo utakutana na post nyingi za R.I.P George Tyson katika
akaunti za wasanii wengi wa bongo movie na wa muziki, pamoja na wadau
mbalimbali wa burudani, ingawa hakuna dalili za huzuni katika akaunti ya
Diamond na Masanja zaidi ya picha za bata nchini Marekani.









