
JAMBO limezua jambo! Zile shilingi
milioni 13 alizolipa staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu
‘Beautiful Onyinye’ mahakamani ili kumnusuru Kajala Masanja kwenda
gerezani, zinaendelea kusababisha fukuto na sasa Kajala amejibu mapigo,
akisema hatamlipa Wema fedha hizo.
Malkia wa filamu...