
Wanafunzi wa Kidato cha Nne, watafanya mitihani miwili ya Taifa mwaka
huu, baada ya kuongezwa mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), ambao
utatumika kuwapima walivyojiandaa na Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu
ya Sekondari.Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari, Paulina Mkonongo,
alitangaza utaratibu...