
Abainisha miradi mikubwa ya maendeleo kupitia kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Baba yake mzazi
Na Lydia Lugakila - Bukoba
MBUNGE wa jimbo la Bukoba vijijini Dkt. Jasson Rweikiza amebainisha miradi mikubwa ya maendeleo iliyofanyika na inayoendelea kufanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais...