Saturday, 31 December 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JANUARI 1,2023

...
Share:

WAANDISHI WA HABARI WAWANYOOSHA WATUMISHI MANISPAA YA SHINYANGA...BODABODA WAKIWATWANGA MILUNDA FC

Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga wakifurahia zawadi ya Mbuzi baada ya kuibuka washindi kwa kuichapa Timu ya Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga bao 3-2  Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Sherehe za kumaliza mwaka 2022 na kukaribisha mwaka 2023 katika mkoa wa Shinyanga...
Share:

AZIZI KI AITUNGUA MTIBWA SUGAR, YANGA SC IKIONDOKA NA USHINDI 1-0

************************ NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya yanga immeweza kuondoka na alama tatu mbeleya Mtibwa Sugar baada ya kufanikiwa kuichapa bao 1-0, mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Manungu mkoani Morogoro. Katika mchezo huo Yanga Sc iliwakosa baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza lakini...
Share:

MWAMALA WAJANJARUKA KULAZA WATOTO CHUMBA KIMOJA NA WAGENI.... "HII HAIKUBALIKI SASA, TUNATAKA KUKOMESHA UKATILI"

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Shinyanga na viunga vyake kupitia kipindi maalumu cha Redio Faraja Fm, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. Afisa Mtendaji wa kata ya Mwamala...
Share:

MTO TISHIO KWA KUUA WATU, WAUA TENA GEITA

Benjamin John mkazi wa kata ya Kasamwa halmashauri ya mji Geita, amefariki dunia huku wengine wakinusurika kifo baada ya kusombwa na Maji wakati wakijaribu kuvuka katika mto Nyampa kuelekea kijiji cha jirani. Baadhi ya mashuhuda wanaeleza kuwa mtu huyo alisombwa na maji akijaribu kuvuka huku wakiiomba...
Share:

SERIKALI KUMEGA HEKTA 33,132.24 ZA HIFADHI KUWAPATIA WANANCHI RUVUMA

Mawaziri wa Wizara za Kisekta wakiongozwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (wa tatu kulia) wakiondoka mkoani Ruvuma baada ya kumaliza kazi ya utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika mkoa huo 30 Desemba 2022. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI) Waziri wa Ardhi...
Share:

BENKI YA CRDB YAONYESHA NJIA MFUMO WA MALIPO KIDIJITALI WA BANDARINI

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB nchini Congo, Jesca Nachiro (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Plasduce Mbossa wakiwa wameshika banngo lenye kutambulisha mfumo mpya wa malipo ya kadi kwa wateja wa Bandari uliorahisishwa kupitia Benki ya CRDB, katika hafla ya uzinduzi huo huo...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger