Saturday, 6 March 2021

Video : MAMA USHAURI - DHAMBI....NGOMA KALI INAHUSU HAKI ZA WANAWAKE

...


Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri ' Full Melody Classic' inaitwa Dhambi. Wimbo unahusu haki za wanawake duniani. Video imetengenezwa katika studio za Asili yetu Africa. Nyimbo hii imeimbwa kwa Lugha ya Kisukuma lakini kutokana na ubora wa studio hii,maneno yanayosikika katika video hii yametafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili




Bonyeza hapa chini kutazama video hii
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger