Wednesday, 24 March 2021

Picha : WANAFUNZI SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI LITTLE TREASURES WAOMBOLEZA KIFO CHA HAYATI DKT. MAGUFULI

...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Little Treasures na Shule ya Sekondari Little Treasures wakiwasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga leo kwa ajili ya kutoa salamu za rambirambi na kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Little Treasures na Shule ya Sekondari Little Treasures zilizopo katika Manispaa ya Shinyanga wameungana na Watanzania kuomboleza Kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutoa salamu za rambirambi na kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo.

Wanafunzi hao wamewasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Machi 24,2021 na kusaini kitabu cha kumbukumbu ya kifo cha Dkt. Magufuli katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga wakiongozana na Meneja wa Shule za Little Treasures Mwita Nchagwa.

Meneja wa Shule za Little Treasures Mwita Nchagwa amesema wanamuenzi Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na uwezo wake wa kusimamia na kutekeleza kile alichokiamini na kukitekeleza mfano kuanzisha miradi mikubwa.

“Dkt. Magufuli alikuwa na maono makubwa ya kusimamia kile alichokiamini hata kama watu wengi hawakukiamini kama kitatokea. Tutakumbuka uwezo wake wa kusimamia na kutekeleza alichopanga kufanya. Kwetu hili ni fundisho kubwa sana”,amesema.

“Daima hatutasahau Uzalendo wake mkubwa na kujitoa kwake kwa ajili ya wengi hususani wanyonge. Magufuli alionesha uzalendo kwa vitendo,mfano alipoagiza Somo la Historia ya Tanzania lifundishwe shuleni”,ameongeza.

Nao wanafunzi wa shule za Little Treasures, Janeth Anthony, Comfort Pius, Johnson Godfrey na Vedastus John wamesema watamkumbuka Magufuli kwa namna alivyopigania elimu bure, kuboresha miundo mbinu ya shule na kupigania haki za wanyonge.

Aidha wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuendeleza alipoishia Dkt. Magufuli ili kuwaletea maendeleo ya kweli Watanzania.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Little Treasures na Shule ya Sekondari Little Treasures wakiwasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga leo kwa ajili ya kutoa salamu za rambirambi na kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Little Treasures na Shule ya Sekondari Little Treasures wakiwasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga leo kwa ajili ya kutoa salamu za rambirambi na kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Little Treasures na Shule ya Sekondari Little Treasures wakiwasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga leo kwa ajili ya kutoa salamu za rambirambi na kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Little Treasures Janeth Anthony akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Little Treasures Johnson Godfrey akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Mwanafunzi wa Shule ya MsingiLittle Treasures Comfort Pius akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Little Treasures Vedast John akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Meneja wa Shule ya Msingi Little Treasures na Shule Sekondari Little Treasures Mwita Nchagwa akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Little Treasures Charles Johannes akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Little Treasures Paul Kiondo akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Mwalimu Eunice Herman akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Mwalimu Meki Joseph akisaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wakiendelea na zoezi la kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Meneja wa Shule za Little Treasures Mwita Nchagwa akiongea na wanafunzi waliokuwa wanasubiri kwenda kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wakiwa nje wakijiandaa kwenda kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wakiwa nje wakijianda kwenda kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Meneja wa shule za Little Treasures Mwita Nchagwa akizungumza baada ya kumaliza kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wa shule za Little Treasures, walimu na baadhi ya viongozi wa serikali ya mkoa  wa Shinyanga wakipiga picha ya kumbukumbu baada ya kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wa shule ya Msingi Little Treasures na walimu wakipiga picha ya kumbukumbu baada ya kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Little Treasures na walimu wakipiga picha ya kumbukumbu baada ya kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wa shule za Little Treasures wakinawa mikono baada ya kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.
Wanafunzi wa shule za Little Treasures wakiondoka katika ofisi ya mkuu wa mkoa  wa Shinyanga  baada ya kusaini kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja Tu

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger