Tuesday, 8 December 2020

Maalim Seif aapishwa kuwa makamu wa kwanza wa rais Zanzibar

...

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi, amemuapisha, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa rais kutoka Chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo.


Hafla ya uapishwaji imefanyika leo Desemba 8, Ikulu Zanzibar.

Hii inakuwa ni mara ya pili kwa kiongozi huyo mkongwe kushika wadhfa huo kwani mwaka 2010 hadi 2015. Wakati wa uongozi wa Dk. Ali Mohammed Shein, alihudumu kwenye nafasi hiyo na sasa anahudumu kwenye serikali ya Nane chini ya Dk. Mwinyi.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger